Kuongezeka kwa watu wajinga katika taifa ni matokeo ya kuzaa na mwanamke/mwanaume mjinga

Ukiona mwanaume kama mwanamke hana akili ujue na yeye akili hazimo Kwa hiyo sio kusingizia tu mwanamke na lipari akili kichwani zinakuwa hazimo

Mwanamke mwenye akili nyingi sio rahisi kuolewa na mtu asiye nazo kichwa wanawajua kuwasoma kuliko maelezo

Ndio wale vidume utakuta ohh kisichana chenyewe kipo kipo tu halafu nataka kukioa kinaleta nyodo Anakuwa keshakisoma kidume kuwa kichwani hamna kitu

Kinaogopa kuja zaa na kidume zezeta ambacho kichwani ni nusu kaputi
 
Kuna kitabu kinaaminika sana watu kina sema kila mtu atabeba msalaba wake mwemyewe kuzaliwa na Baba/Mama mjinga sio sababu ya mtoto kuwa mjinga hapana
 
Ni matokea ya elimi mbovu inayochangiwa na ma profesa wabovu, UDSM ndio chuo chuo pekee Tanzania kuongoza kwa kutoa wanafunzi wanaloliingizia hasara taifa siku baada ya siku, Angalia viongozi tulio nao sasa hivi wengi ni UDSM
 
Ivi kwan wanawake wanapenda mwanaume awe na pesa au akili? Kwa sababu kila mtu ana akili , kuna akili ya pesa, akili ya kumiliki wanawake wengi , akili ya kuwa Mario, na nk.
 
Wewe mtoa maada ukijiangalia upo upande gani kati hizo ulizitaja???.

Wewe mtoa maada ukijiangalia upo upande gani kati hizo ulizitaja???.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio think tank la musoma ,mara
 
Ivi kwan wanawake wanapenda mwanaume awe na pesa au akili? Kwa sababu kila mtu ana akili , kuna akili ya pesa, akili ya kumiliki wanawake wengi , akili ya kuwa Mario, na nk.
Wanawake wa uswahilini ndio huangalia pesa tu

Wanawake waliosoma hawaangalii pesa tu kuolewq sababu kwa elimu na akili zao waweza tengeneza pesa wenyewe na huwa hawapendi kabisa mfano ana digrii halafu anaolewa na darasa la saba mwenye pesa wengi huwa hawataki kabisa anaona ni kujidhalilisha kulikopitiliza heri abaki peke yake na hata akiolewa iko siku ataachika tu hatakubali kuendelea na ndoa
 
Kumbe kwa tafsiri yako akili ni elimu , kama ni hivyo mbona ili uende shule lazima uwe na akili nan kakudanganya akili inaletwa na elimu ?
 
Umesoma Biologia hadi ngazi gani?
nafikiri tuanzie hapo
 
Kumbe kwa tafsiri yako akili ni elimu , kama ni hivyo mbona ili uende shule lazima uwe na akili nan kakudanganya akili inaletwa na elimu ?
Inategemea mkondo mtu kapitia

Akili huongezeka kwa namna nyingi

Mfano kuna ziongezekazo kwa kusoma .wengine akili zao huanka ns kuongezeka kwa kusoma sana hadi hufikia kuitwa mtaalamu.mwenye akili.mbobezi kwa kusoma tu


Mwingine akili huongezeka mitaani kwa mahangaiko,kupigika kimsisha na ku struggle atoke vipi kimaisha iwe kibiashara nk

Mwisho siku yaweza patikana makundi mawili la shule na mitaani.Hayo ni makundi hasimu .Mwanamke aliyesoma hapendi kuolewa na huyo anaitwa ana akili ya pesa tu wakati darasa la saba!!! Kumpata huyo mwenye digrii kwanza anatakiwa kujitutumua mno kama kuiga kunya kwa tembo sababu sio saizi yake ila anahangaika kujitutumua ampate!!!.kwa kuonyesha onyesha vihela vyake na kujitua ohh mimi sijasoma ila ninayo.Akidhani kila mwanamke anaangalia vihela tu kumbe wengine wanzaxomea kuwa ana vihela vya kishirikina tu.mbwa huyo

Kifupi wanawake wengi wasomi mwenye hela hutaka awe kiwango.chao hata kama ana hela kiasi.chini ya mwanamke mradi kielimu wako kiwango kimoja anaweza olewa naye si vinginevyo
 
Hii ni kweli kabisa. Ndo maana babu zetu hawakuoza wanao bila kuangalia akili za wazazi wa binti au kijan
 
Walio anzisha elimu walikua na akili , elimu haiongezi akili kamwe ila akili inaongeza elimu.
 
Mwanamke akisoma sna ndio akili hupotea kabsa fanya utafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…