Kuongezeka kwa watu wajinga katika taifa ni matokeo ya kuzaa na mwanamke/mwanaume mjinga

Tako liheshimiwe bhana. Msingi wa familia ni baba. Baba akifeli, familia imefeli. Siwezi kuacha kuchagua mwanamke Mwenye shape nzuri kisa naogopa atanizalia wajinga. We live once so we must enjoy life effectively

NAKAZIA [emoji419][emoji375] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Penaaati!.
 
Elimu inakuongezea maarifa, mengine ni utashi wako binafsi
Kabisa maarifa ya kuishi kwenye mazingira yako kwa experience za watu wengne walio kutangulia kufikiri kwa akili .
 
Tangia niachane na Mama yako umekuwa na Chuki sana nami. Mwambie Mwanaume siko peke yangu Safari hii aende kwa Wengine watampa tu Ushirikiano wao sawa?

Idiot.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo chacha
 
Kwahiyo ulitaka watu wajinga wasiwe wanapata watoto? Ili taifa lisiwe na watu wajinga?
 
Moja ya tafiti za hovyo zilizowahi fanywa na wasomi wa siku hizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh

Sitaki kukaa na vitoto vibaya vyeusi tii km usiku wa balaa, kisa baba yao ana akili ebooh!!

Dunia yenyewe tunapita hakuna kuishi milele
Nitese nafsi yangu ya nini?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kukaa na vitoto vibaya vyeusi tii km usiku wa balaa, kisa baba yao ana akili ebooh!!

Dunia yenyewe tunapita hakuna kuishi milele
Nitese nafsi yangu ya nini?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo Sisi wenye Sura ya Kazi hututaki, Acha ubaguzi mrembo. Tutakupa majumba na magari
 
Uko sahihi kabisa ila nao Kuna mahala Wana fit
 
Sitaki kukaa na vitoto vibaya vyeusi tii km usiku wa balaa, kisa baba yao ana akili ebooh!!

Dunia yenyewe tunapita hakuna kuishi milele
Nitese nafsi yangu ya nini?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah![emoji1787][emoji23] Ko tuanze kutumia kitaulo
 
Kwa hiyo Sisi wenye Sura ya Kazi hututaki, Acha ubaguzi mrembo. Tutakupa majumba na magari

Akhu!!! Bwana akiongea sauti km radi, guu kubwa, refu km giant niishi nalo kisa lina akili?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapaanaaa kwa kweli
 
Daaah![emoji1787][emoji23] Ko tuanze kutumia kitaulo

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna weusi, afu kuna weusi tii!!
Hao ndio hapana km Wassira unamkiss vipi?? Sura imeshuka km kamwagiwa uji uliopoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…