Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kwahiyo wewe hakuna mtu yeyote maarufu duniani unayemfatilia?????
 
Ila Neema kumpelekea Mange family issues kwako Wewe ndio unaona sahihi?

JF hii ni platform where we dare to speak openly.
 
Shida watu hawafanani na haitawezekana..

Unajaribu ili watu wafikirie kama wewe ki weledi zaidi.
Sio rahisi ni kuacha tu.
 
Shida watu hawafanani na haitawezekana..

Unajaribu ili watu wafikirie kama wewe ki weledi zaidi.
Sio rahisi ni kuacha tu.
Naelewa watu hawafanani.

Na wala sitaki wafanane.

Naonesha mawazo mbadala tu.

Ili miaka hata 3,000 baada ya leo wakija future digital archaeologist wakifukua internet za Watanzania walikuwa wanaongea nini, wakiona utumbo mwingi, lack of empathy, lack of compassion, umbea, schadenfreude, kupenda kueneza fitna, kupenda kusengenyana, kuwindana, kutukanana, waone angalau kuna mtu mmoja mmoja hapa na pale aliyekataa kwenda na premise hiyo ya passive aggressive low key cannibalism na willy nilly judgement.

Na wachache kati yetu leo wanaoelewa ninachoandika wasijione wako peke yao.
 
Kimsingi, wazazi watambue tofauti zao ni mambo yao binafsi haitakiwi kuwahusisha watoto. Haijalishi mlikosana nini na kwa kiasi gani. Hadi mtoto kufikia kumwambia baba yake ambaye anatembelea DNA yake kuwa "suck my dick". Kiukweli hata huyo mama anaewakuza (siyo kuwalea) hao watoto ana shida kichwani.

Hata hivyo, huu ni ujumbe kwenda kwa vijana kuchagua wanawake sahihi wa kuoa maana siyo "Kila mwanamke ni MKE". Mwanamke wa kugombana tu anatoa siri za ndani kwa ndugu, majirani, na marafiki huyo ni feki, utajuta maishani.
 
Lemetuz qnadharaulika kwa mambo mawili.

1. Tabia zake chafu chafu na akili zake za upuuzi.

2. Hana lolote la maana sio cheo, sio biashara, hayuko kwenye system yoyote yenye kuleta umateumate.

Laiti lemtuz angekuwa anajiheshimi na maisha yake binafsi na angekuwa na ka ukwasi fulani au kacheo hata angepotea miaka 30 watoto wake wangemtafuta tu watake wasitake.

Pamoja na yote huyo dogo hakupaswa kumtukana baba yake mzazi. Ni kiashiria kwamba Hana malezi kutoka kwa mama yake.

Anyway mambo yao tuwaachie wenyewe wamalizane
 
Wakiume ndio maana hakutaka mjadala just s#&k my d!£&k you bkackass nigger anasema msamaha anaomba sabb kuna watu wamemwabia afanye hivyo 😆
 
Vitu vingine vinakasikirisha bruh
Dogo anasema hajawahi kuwasiliana nae for 10yrs yeye mtandaoni ni kutukanana na watu na pics za wanawake tofauti
Hata kama ni mimi ningekuwa tu kama wa kiume ningemwabia just s#&k my d!&£k u blackass nigger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…