Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Mbona Kama unaandika kwa Jazba Tena?we una uhakika gani Mimi sipajui Kyela?yaani Mimi nisipajue Mwaya na matema kweli?hizo zote sifa ulizoandika Ni sawa asilimia 100 Ila hii nyingine mbona unaikataa?
Unaweza kuwa ulipita tu, na ungekujua huko usingesema ni malaya, umalaya unatokana na kushindwa kujiajiri kwenye biashara na kuamua kuitegemea pochimanyoa.
 
Unaweza kuwa ulipita tu, na ungekujua huko usingesema ni malaya, umalaya unatokana na kushindwa kujiajiri kwenye biashara na kuamua kuitegemea pochimanyoa.
Kwa Nini unahisi nilipita na sikuishi huko? wale wamama wafanyabiashara unaowazungumzia isssue sio pesa yaani issue wanachagua mtu wanaemtaka wao waburudishwe....usipindishe historia aiseee
 
Lemutuz anajikaanga na mAfuta yake mwnyw,

huwez kua baba, kutwa kucha uko mitandaoni unajinadi uko 5star hotel na Wanawake tofaut tofauti daily

afu wanao uko marekani umewatelekeza kwa mama Yao, hujui wamekula nn,wamevaa nn na mitandaoni wanakuona kila siku.

Haya maisha yake ya kujianika ndo sumu aliyojitengenezea mwnyw kwa wanae, asitafute mchawi.
 
Hizo tabia nyingine hapo siyo za Le Mutuz peke yake, bali ni za Ccm wote.

Sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni unafki, hamnaga aibu.

Makonda alihadaa wajinga wenzake anapambana na Dawa za kulevya halafu hapohapo ni swahiba mkubwa wa Kinje, huu ni unafki wa kiwango cha PhD.

Vita fake ya Makonda ya Dawa za kulevya ilikuwa ni vita kati ya drugs cartels kudhibiti biashara yao haram.
 
Afu ndo shida ya single mothers,
Apo Mtoto kumtukana baba ake mwanamke anajiona superwoman balaa[emoji848]
Lakini Neema siyo single Mother, alishaolewa lakini hataki kumove on.

Kuna vitu mnachekesha tu, licha ya vituko vyote yani mwanamke na kazi yako utegemee child support kutoka Kwa blogger Bongo?

Wengi mmenyimwa ufahamu kwenye issue hii, mtu anakimbia Marekani kuja kuwa blogger Bongo siyo jambo la kawaida.
 
Kampampu kwanza kwamba ni mgonjwa, jamaa kujitetea kwamba haumwi ndio akaambiwa ni mgonjwa kichwani 😂
 
Mbona hapa anahukumiwa mama wa mtoto? Vp Kama baba hakuwa na mahusiano mazuri na watoto wake? Isitoshe mtoto mkubwa anajua baya na zuri hivyo anajua anachokifanya.
Hii ni dunia WANAWAKE tunabebeshwa Sana mizigo.
 
Mbona hapa anahukumiwa mama wa mtoto? Vp Kama baba hakuwa na mahusiano mazuri na watoto wake? Isitoshe mtoto mkubwa anajua baya na zuri hivyo anajua anachokifanya.
Hii ni dunia WANAWAKE tunabebeshwa Sana mizigo.
 
Huyo sio mtoto bali ni mama yake
Naona huwajui watoto wa mamtoni wewe, Mama hawezi gusa simu ya mtoto wa miaka 18+ thubutuu, watoto wa mamtoni hadi wanagombana ngumi kavu kavu na madingi itakua kujibu message?? Msimrushie lawama mama yao, watoto wa mamtoni wana akili sana kuliko percent kubwa ya wababa wa bongo, wanaona mambo yote, sidhani kuna mtoto wa kiume anaweza kumfurahia baba yake kuweka mapicha picha akiwa na wanawake tofauti tofauti kwa 5 star hotels hadi kwa rooms.
NB. sitetei hayo majibu ya huyo mtoto ila hio ndio reality ya watoto wa mamtoni hawajali kitu ingawa sio wote. Wakikunawa wamemaliza.
 
Na wewe unaingia Mkumbo uleule, Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto wanaolelewa katika misingi bora?

Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto ambao watakuja kuwa wachungaji na masheikh wote ni hawa suck my dick?

Msipotoshe watu, Mimi Nina vijomba vyangu vinaniamkia kabisa shikamoo Anko.

Pamoja wamezaliwa na kukulia mamtoni wanafundishwa how to behave kama Mwafrica.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…