Naona huwajui watoto wa mamtoni wewe, Mama hawezi gusa simu ya mtoto wa miaka 18+ thubutuu, watoto wa mamtoni hadi wanagombana ngumi kavu kavu na madingi itakua kujibu message?? Msimrushie lawama mama yao, watoto wa mamtoni wana akili sana kuliko percent kubwa ya wababa wa bongo, wanaona mambo yote, sidhani kuna mtoto wa kiume anaweza kumfurahia baba yake kuweka mapicha picha akiwa na wanawake tofauti tofauti kwa 5 star hotels hadi kwa rooms.
NB. sitetei hayo majibu ya huyo mtoto ila hio ndio reality ya watoto wa mamtoni hawajali kitu ingawa sio wote. Wakikunawa wamameliza.