Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

You have a point...
 
Hapa naona kuna emphasis kwenye kujadili watu kuliko hoja dhahania, jambo hili linafanya mada iwe umbea na ubuyu zaidi ya kitu kingine chochote.

Afadhali mtu angekuja na hoja dhahania, halafu kukawa na mfano mdogo tu wa mtu, halafu akashikilia hoja dhahania.

Hapa hoja ni watu, kuanzia kwenye heading mpaka original post.

Hilo limefanya mada iwe ubuyu na umbea zaidi ya kingine chochote.

But, I don't expect many Tanzanians to know the difference.

 
Nyie jamaa acheni ubishi wa kipuuzi hapa, we kiranga kuita watu maskini kwa hela gani?
Kuna dada kakuuliza una brand gani ya kujivunia umekosa jibu.
Au utajijiri wako ni kukaa NYC.
Watu wapo huko miaka na miaka.
Acha ubwege wewe
 
Nyie jamaa acheni ubishi wa kipuuzi hapa, we kiranga kuita watu maskini kwa hela gani?
Kuna dada kakuuliza una brand gani ya kujivunia umekosa jibu.
Au utajijiri wako ni kukaa NYC.
Watu wapo huko miaka na miaka.
Acha ubwege wewe
Nikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?

Hapo watu kumjua Kiranga kupitia JF tu shobo kibao, wananiparata kama washawahi kuniona, unataka nikupe brand yangu?

Wakati mimi naongelea umasikini wa jamii nzima, wewe na guluguja wenzako wenye inferiority complex msiojua kusoma kwa ufahamu hamuwezi kuelewa kwa upeo huo wa kuangalia mambo kijamii, unaenda ku focus kwangu mimi mtu mmoja.

Unarudi kule kule nisikotaka mimi, kwenye ubuyu na umbea.

Unathibitisha maneno yangu tu.
 
We hata Mungu hujui km yupo kisa uko US Mshamba mmoja tu.
Acheni ulimbukeni nyinyi ukienda mahali Nje unadharau watu.
Hapo ulipo km ungekua na akili na uko vizuri usingekaa hapa unabishana kutwa.
 
We hata Mungu hujui km yupo kisa uko US Mshamba mmoja tu.
Acheni ulimbukeni nyinyi ukienda mahali Nje unadharau watu.
Hapo ulipo km ungekua na akili na uko vizuri usingekaa hapa unabishana kutwa.
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Limbukeni wewe ambaye unaamini vitu ambavyo huwezi kuthibitisha halafu ukiambiwa huo ujinga hutaki kusikia.

Thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Nakumbuka huu mjadala wa Child support…Ni kama tulitabiri haya yanayotokea sasa kwa bwana FMES…
Field Marshall hatendewi haki katika hili.

Katika hali ya kawaida tu mtu anayeishi kwa uchawa Bongo akutumie pesa Marekani?

Ni vile tu Willy life style yake ametengeneza mazingira ya kupuuzwa lakini kwa hili hawamtendei haki.

Sasa inabidi Watanzania tuanze kuambiana ukweli, mkitumia sheria za Marekani kuwazinguwa watu mliokuwa wana ndoa ukikutana na Mimi nitamwambia Watoto warudi Bongo sina uwezo wa kuwahudumia Marekani fullstop ili kukomesha huu Utapeli wa mapenzi kwa kuwatumia Watoto.
 
Huyo Lemtuz , anabidi kujiheshimu kwanza nashangaa baba Mtu mzima wa age 60s anapost kalala na bitches Sasa huyo Nani atamuheshimu? It about fucking father.

Watz tunabidi kuacha umbea.
Lemutuz anavuna alichopanda

Hajiheshimu… haheshimiki na bahati mbaya katotoa katoto ka kufanana naye
 
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Limbukeni wewe ambaye unaamini vitu ambavyo huwezi kuthibitisha halafu ukiambiwa huo ujinga hutaki kusikia.

Thibitisha huyo Mungu yupo.
We unaonekana hata huko ni jobbless tu kazi yako ubishi tu JF km unalipwa.
Tafuta kazi wewe acha kula kodi za watu
 
We unaonekana hata huko ni jobbless tu kazi yako ubishi tu JF km unalipwa.
Tafuta kazi wewe acha kula kodi za watu
wewe kwa vile unaishi katika ulimwengu ambao ni lazima ufanye kazi unafikiri kila mtu anahitaji kufanya kazi, hujui kuna watu hela inawafanyia kazi.

Sijafikisha quota ya watu ninaowapeleka ignore list.

Sipendi kujadiliana na watu wanaonuka mavi, mentally.

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona posts zako.

Hujafikia viwango vya kujadiliana nami.
 
Mkuu mbona unakua ndimu sana
 
Mkuu unaishi NY kweli au wanakuzushia, kama ni kweli nina shida na wewe naku pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…