Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo conversations sikuwahi kuzionaYani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Hakuna tatizo hapoMademu anaochukua huyo jamaa karibu wote ni malaya labda kama wewe ni mgeni mjini.
You have a point...Nazungumzia mnaomponda William kwenye issues za hao wabebez, yupo sahihi kabisa haijalishi umri, kama anaishi mpweke iwe kaachwa au kaacha whatever ili mradi asumbui watu.
Why?, Issue ya mahusiano ni shida sana hasa ukiwa huna pesa na ukiwa nazo ni simple sana.
Baadhi wanamponda ni either hawana uwezo wa kubeba wabebez na hata ukiweza basi huwezi kushare km willy, vinginevyo tunafahamiana kwa roho mbaya tulizonazo kama waafrika.
Hapa naona kuna emphasis kwenye kujadili watu kuliko hoja dhahania, jambo hili linafanya mada iwe umbea na ubuyu zaidi ya kitu kingine chochote.Hakika
Hatutakiwi kujiingiza kwenye mambo ya watu lakini pia tunaweza kujifunza kupitia mambo ya watu ili kunufaika au kujifunza kupitia hayo mambo ya watu........
Mimi nadhani content ya bwana ni namna ambavyo kijana kamkosea adabu baba yake......
Matatizo na malumbano ni sehemu ya maisha kwenye mambo ya kifamilia lakini hayafahamiki kwa kuwa wanafamilia wameamua kujenga baada ya kubomoa........
Wanafamilia wanapoamua kuyatoa mambo yao nje na kudhalilishana sisi walimwengu hatuna cha kufanya zaidi ya kushangaa, kujifunza na kuwahurumia kwani anguko la kifamilia ni anguko baya.......
Asichokijuwa hao Malaya ndio wanajuwa mwanaume anatakiwa afanyiwe nini.Hakuna tatizo hapo
Nakumbuka huu mjadala wa Child support…Ni kama tulitabiri haya yanayotokea sasa kwa bwana FMES…Unaijuwa child support Marekani? Sikia hivyo hivyo.
Nyie jamaa acheni ubishi wa kipuuzi hapa, we kiranga kuita watu maskini kwa hela gani?Mimi simuogopi Mungu, itakuwa mtu?
Nyie ndio wale wale mkimsoma mtu JF mshajiwekea ukaribu kwamba mnamjua.
Do not flatter yourself, you do not posses the lowest required wattage to worry me.
Nyie wabongo mnatafuta mchawi kwenye umasikini wenu, lakini mchawi wenu ni nyie wenyewe.
Badala ya kufuatilia mambo ya maendeleo yenu, mnafuatilia ubuyu wa maisha ya watu.
Kwa mtaji huu mtaendelea kuwa jamii ya kimasikini kwa muda mrefu sana.
Ichape kwenye moto kwa dk 5 dogo aungue kabisa ateketeeeMnayachekea hayo mapaka yenu kama Mimi naipigiza mb....o yangu kwenye jiwe anapata laana dakika hiyohiyo
Nikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?Nyie jamaa acheni ubishi wa kipuuzi hapa, we kiranga kuita watu maskini kwa hela gani?
Kuna dada kakuuliza una brand gani ya kujivunia umekosa jibu.
Au utajijiri wako ni kukaa NYC.
Watu wapo huko miaka na miaka.
Acha ubwege wewe
We hata Mungu hujui km yupo kisa uko US Mshamba mmoja tu.Nikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?
Hapo watu kumjua Kiranga kupitia JF tu shobo kibao, wananiparata kama washawahi kuniona, unataka nikupe brand yangu?
Wakati mimi naongelea umasikini wa jamii nzima, wewe na guluguja wenzako msiojua kusoma kwa ufahamu hamuwezi kuelewa kwa upeo huo wa kuangalia mambo kijamii, unaenda ku focus kwangu mimi mtu mmoja.
Unathibitisha maneno yangu tu.
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.We hata Mungu hujui km yupo kisa uko US Mshamba mmoja tu.
Acheni ulimbukeni nyinyi ukienda mahali Nje unadharau watu.
Hapo ulipo km ungekua na akili na uko vizuri usingekaa hapa unabishana kutwa.
Field Marshall hatendewi haki katika hili.Nakumbuka huu mjadala wa Child support…Ni kama tulitabiri haya yanayotokea sasa kwa bwana FMES…
Lemutuz anavuna alichopandaHuyo Lemtuz , anabidi kujiheshimu kwanza nashangaa baba Mtu mzima wa age 60s anapost kalala na bitches Sasa huyo Nani atamuheshimu? It about fucking father.
Watz tunabidi kuacha umbea.
We unaonekana hata huko ni jobbless tu kazi yako ubishi tu JF km unalipwa.Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
Limbukeni wewe ambaye unaamini vitu ambavyo huwezi kuthibitisha halafu ukiambiwa huo ujinga hutaki kusikia.
Thibitisha huyo Mungu yupo.
wewe kwa vile unaishi katika ulimwengu ambao ni lazima ufanye kazi unafikiri kila mtu anahitaji kufanya kazi, hujui kuna watu hela inawafanyia kazi.We unaonekana hata huko ni jobbless tu kazi yako ubishi tu JF km unalipwa.
Tafuta kazi wewe acha kula kodi za watu
Mkuu mbona unakua ndimu sanawewe kwa vile unaishi katika ulimwengu ambao ni lazima ufanye kazi unafikiri kila mtu anahitaji kufanya kazi, hujui kuna watu hela inawafanyia kazi.
Sijafikisha quota ya watu ninaowapeleka ignore list.
Sipendi kujadiliana na watu wanaonuka mavi, mentally.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona posts zako.
Hujafikia viwango vya kujadiliana nami.
Hapo hata gia ya kwanza ya ndimu sijaanza, tatizo watu tunaishi maisha tofauti sana tunakutana JF.Mkuu mbona unakua ndimu sana
Mkuu unaishi NY kweli au wanakuzushia, kama ni kweli nina shida na wewe naku pmNikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?
Hapo watu kumjua Kiranga kupitia JF tu shobo kibao, wananiparata kama washawahi kuniona, unataka nikupe brand yangu?
Wakati mimi naongelea umasikini wa jamii nzima, wewe na guluguja wenzako wenye inferiority complex msiojua kusoma kwa ufahamu hamuwezi kuelewa kwa upeo huo wa kuangalia mambo kijamii, unaenda ku focus kwangu mimi mtu mmoja.
Unarudi kule kule nisikotaka mimi, kwenye ubuyu na umbea.
Unathibitisha maneno yangu tu.
Potezea tu aiseeHapo hata gia ya kwanza ya ndimu sijaanza, tatizo watu tunaishi maisha tofauti sana tunakutana JF.
Naona kama nachanganyika na guluguja.