The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu achana nae huyo,usipoteze muda kuhangaika nae,hua anajifanya mjuaji wa kila jambo,hiyo issue kama tayari ipo mitandaoni utasemaje tena kua inasambazwa?Yani ugomvi wa Familia mkagombanie Instagram? Halafu eti mediator ni Kigagula Mange Kimambi?
Sielewi kwa nini huoni makosa ya Neema kuleta hili swala kwa mtu ambaye ni enemy wa furaha za watu wengine?
Bottom line unajipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha ya watu ambao hata hawakujui kihivyo.Inawezekana na wewe kuishi muda mrefu Marekani umeshapata American effect.
Waleeni Watoto wenu katika maadili ya Kitanzania.
Mimi Nina vianko vyangu vimezaliwa Marekani lakini vinaniamkia shikamoo.
Acha kutetea ujinga, tena huyo Neema hiyo kazi mpaka anakwenda Marekani ni influence ya Mzee Malecela na alipendelewa tu, hakuwa na sifa.
Yaani Mimi ananichosha Sana huyu mtu,anahisi anajua kila kitu kumbe hajuiMkuu achana nae huyo,usipoteze muda kuhangaika nae,hua anajifanya mjuaji wa kila jambo,hiyo issue kama tayari ipo mitandaoni utasemaje tena kua inasambazwa?
Hao watoto wanaomtukana hivyo Baba yao wana umri gani?
Dizasta Vina au sioMama ameshavamiwa na ufeminist,amepata marafiki kutoka mashariki ya mbali na jangwa la karahali...
Mzee malecela atakosa tumaini na kuisogelea pombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaahWatanzania wengi kama wewe ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kwenye mambo ambayo hawayafahamu.
Wana nyege sana za kufuatilia mambo ya watu, wakati wao wenyewe mambo yao yamewashinda.
Hii inatokana na u busybody fulani wanaojipa, wanajipa umuhimu ambao hawana.
Wewe bila shaka unafurahia hizi habari, kwa schadenfreude.
Usingefurahia ungeona vibaya kuzisambaza.
Unaweza kuniweka ignore list usione kabisa post yoyote ninayoandika ili nisikuchoshe tena.Yaani Mimi ananichosha Sana huyu mtu,anahisi anajua kila kitu kumbe hajui
Naongopa mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah
HATIA VDizasta Vina au sio
"Saki my diki"?
Nimekwambia niweke ignore list usione post zangu kabisa.Nilijua tu utaniandikia waraka Kama wa mtume Paulo....
Sina haja ya kubishana na mbishi unaebisha kila kitu napenda tu kukuambia punguza kitu kujua...kila Uzi wewe ndio mbishi na unajua kila kitu aaaah sio poa
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki🤣🤣🤣Hayawahusu lolote, mnajipa umuhimu msiokuwa nao katika maisha ya watu ambao hata hawawajui na wala hawajawaomba ushauri.
Hii ni tabia ya masikini wasiokuwa na shughuli wala ubunifu wa kutumia muda wao vizuri.
Having said that, I think I have said all I want in this thread.
Sina haja ya kukuweka ignore list,kukusoma kitu kujua Kama wewe kunatupa muda wa kushangaa malimwengu ya pale mtu anaehisi anajua kila kitu kumbe hajui.Unaweza kuniweka ignore list usione kabisa post yoyote ninayoandika ili nisikuchoshe tena.
Click jina langu, click ignore.
Kuanzia hapa nikikuchosha ni kosa lako.
Maana nishakuelekeza cha kufanya usione post yangu lolote.
Ila huwezi kunizuia nisijieleze ninavyojisikia.
Mimi kuna watu wamenichosha hivyo hivyo, nimewaweka ignore list sasa hivi sioni posts zao.
Very effective way to deal with that issue.
You right bro. This is pure venom from own blood. Unimaginable. Abominable. Totally disgusting!Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Hizo mila ndizo zinawafanya muwe masikini...
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
Kwani Nina Sababu gani za kukuchukua mtu nisokujua? Nakupenda ndio Kama binadamu mwenzangu sema tabia yako ya ujuaji lazima ikemewe......kila Uzi nikipita nakuta unabishana au inahitaji tukupe kombe wewe?Nimekwambia niweke ignore list usione post zangu kabisa.
Ukishindwa hilo na kuendelea kunijibu jibu nitajua unanipenda tu.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Lemutuz na huyo mzazi mwenzie ni WANANDOA so acha kuchepusha mada, hili ni la WANANDOA.Waite kataa ndoa wotee, waje wajionee mitusi watayokula miaka 16 ijayo kutoka Kwa kina Juniors ambao wamewaachia single mothers wawalee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi kama wewe hutaki kuniweka ignore list, mimi nakuweka wewe.Sina haja ya kukuweka ignore list,kukusoma kitu kujua Kama wewe kunatupa muda wa kushangaa malimwengu ya pale mtu anaehisi anajua kila kitu kumbe hajui.
Sio kwa ubaya lakini,nakushauri Kama Mtanzania mwenzio tafuta daktari mzuri wa afya yako ya akili huenda Kuna shida mahala,maana si kwa ubishi huo na ujuaji huo!yaani unajua kuliko hata kina Aristotle wenyewe Cha ajabu huna ulichovumbua mpaka sasa