Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Wewe jamaa you just feel the need to go against the grain in every single thing. Unaboa!!! Plus ruhksa kukaa kimya.Hizo mila ndizo zinawafanya muwe masikini.
Badala ya kufuatilia mambo yenu mnatoa mimacho kwa mambo ya wenzenu.
Hizi ni tabia za kijima.
Mbona wewe unajifanya hufuatilii mbona maskini tu!au na hili utabisha?maana hapa mjini huna hata product unayomiliki japo isomeke"KIRANGA KARANGA"unamili UBISHI tuHizo mila ndizo zinawafanya muwe masikini.
Badala ya kufuatilia mambo yenu mnatoa mimacho kwa mambo ya wenzenu.
Hizi ni tabia za kijima.
Tulia sindano zikuingie unakimbia Nini much knoBasi kama wewe hutaki kuniweka ignore list, mimi nakuweka wewe.
Maana na wewe unanikera sasa kwa kuwa nakukera halafu hutaki kuniweka ignore list unaendelea kunijibu shombo.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Sema wewe mkuu.Sawa mkuu alichofanya huyo Mama sio sahihi na Kwa vile umeshakua ugomvi wa kifamilia, Kiranga sio kwamba anatetea au kusema mambo Yako shwari, la hasha. Kama nimemwelewa vizuri na nnavyofikiria Mimi, tungewaachia wakapambana nalo wenyewe hukohuko.
Na kama kweli lengo ni kumfikishia ujumbe mwanachama mwenzetu wa JF, ungeweza kumwandikia peke yake nabila shaka angeona kweli Kuna Nia ya dhati ya kurekebisha na kukosoa Kwa staha. Lakini hii ya kuja kumwaga hapa ni kama umesaidia ipasavyo kazi ya hao hao unaowalaumu.
Mwisho wa siku hapa JF Kila mmoja ana mambo yake mengi na tuna watu wa kaliba zote na uchafu wa Kila aina, ukisema uhangaike na members wenzetu hapa utakuta unapoteza muda wako wa muhimu na usipate matokeo unayoyatakani Kwa hao watu.
Unatarajia kweli huyo Mama atabadilika Kwa huu Uzi?
You can shove this up your stinky butt! Nobody needs any moral lessons from you.Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Hana lolote huyo,, anapendaga kubisha vitu viko wazi kabisaa,hao ughaibuni wenyewe wanaheshimu Wazazi wao itakuwa hako katoto kagogo ka mpwawa..
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai dikiπ€£π€£π€£
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
Uko sahihi mkuu.Naongopa mkuu?
Halafu hao hao ndo utakuta wanakuhubiria dini wewe usiye na dini.
Na dini zao wanasema zimekataza kusengenyana, zimekataza fitna na umbeya. Zinahimiza kueneza habari za kujengana, si kubomoana. Wanasema zinahimiza kufadhiliana na kuhifadhiana.
Halafu wewe mtu usiye na dini ndiye unakuwa mtu wa kuwaambia hapa mnaeneza fitna, hapa mnaeneza umbeya.
Yani mtu usiye na dini ndiye unafanya kama wanavyotakiwa kufanya wenye dini, wenye dini wanaeneza fitna na umbeya.
Watoto wapo 18+.Huyo wa kike kishamaliza chuo kikuu degree ya kwanza. Haina haja ya kutoa lawama kwa mama yao.Watoto ni watu wazima tayari.Huyo Noela ni 24 this year.Mkuu achana nae huyo,usipoteze muda kuhangaika nae,hua anajifanya mjuaji wa kila jambo,hiyo issue kama tayari ipo mitandaoni utasemaje tena kua inasambazwa?
Hao watoto wanaomtukana hivyo Baba yao wana umri gani?
πππππππππππππ
Watanzania tunapenda umbeya kuliko chochote.Si unaona Mange kajua na kakamata fursa. Imagine watu wanalipia app,instagram ya Mange eti kumuona mtoto wa majizzo,sijui kujua ugomvi wa Mond na Esma,sijui mtoto wa Nandy.Huyo Lemtuz , anabidi kujiheshimu kwanza nashangaa baba Mtu mzima wa age 60s anapost kalala na bitches Sasa huyo Nani atamuheshimu? It about fucking father.
Watz tunabidi kuacha umbea.
Hata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jamboAcha apate anachostahili,miaka kumi.hajui watoto wamekula nini,wamevaa nini,matibabu nk.Halafu anashowoff kwenye mitandao yupo kwenye Mahotel ya Lux .Yupo na mabilionea wa Kitz. From no where anakuja eti wayajenge.Kala ujana sasa uzee ndo anataka ahangaike na wanae.
Huyo mtoto wa kiume kumtukana hivyo Baba yake ni akikumbuka miaka 10 ya mateso bila Baba yake.Mtoto na block akapiga. Usimlaum Neema .Wale watoto wana miaka 18 +.Si watoto tena.
Why lemutuz , hakui ujanja Mwingi mbele gizaSema Boma Liwanza ana akili kisoda...
Cheki alivyoshushuliwa na mtoto....
View attachment 2590634View attachment 2590635
Halafu asivyo na akili eti anamuambia mtoto "Nimefanya hivi baada ya kuombwa"? Kwamba hiyo new chapter haijatoka moyoni mwake...
Mwanae ana akili sana, ndo maana kamjibu "You are so sick in the head"...
Watu wengi kama wewe.Sijawai kujua kama kumuita mtu kwa kabila ni kumnyanyapaa.Yaani mie mtu aniite we mnyakyusa halafu niseme nimenyanyapaliwa hapana kwa kweli,mambo mengine mnayakuza tu...anyways imenibidi niende off point kwani nimepitia comments nikaona nichangie kwenye hilo........