DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hajatukanwa huyo lemutuz sema kaambiwa ukweli , naked truthHata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jambo
Siyo mama bora kalea wanae hadi wamemaliza vyuo vikuu?Huyu ni mama bora kabisa.Kulea watoto peke yako tena Newyork hadi wakafikia umri wa plus 18 na wanajitegemea wenyewe si mchezo.Wangapi wanaishia kuwa ghettos, wavuta bangi,Madawa nk?Huyo dada ni mjinga.Sio mama bora
Wabongo wengi mnapenda sana ubuyu.Watanzania tunapenda umbeya kuliko chochote.Si unaona Mange kajua na kakamata fursa. Imagine watu wanalipia app,instagram ya Mange eti kumuona mtoto wa majizzo,sijui kujua ugomvi wa Mond na Esma,sijui mtoto wa Nandy.
Seriousily ukishamwona mtoto wa majizzo unaongezekewa au kupungukiwa na nini?
Unaweza muambia baba yako kama hivi ?Hajatukanwa huyo lemutuz sema kaambiwa ukweli , naked truth
Siwezi kujaji,sijui huyo mtoto aliyoyaishi magumu hadi kuwa na hasira kama hiyo.Kumbuka Baba yake alimuacha 10 yrs dry. Tena akiwa mtoto na sasa ni mtu mzima.Hata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jambo
Aaah and most of them ni wanawake . Nadhani the reason ni Kwamba hatupo busy na maisha ya utafutajiWatanzania tunapenda umbeya kuliko chochote.Si unaona Mange kajua na kakamata fursa. Imagine watu wanalipia app,instagram ya Mange eti kumuona mtoto wa majizzo,sijui kujua ugomvi wa Mond na Esma,sijui mtoto wa Nandy.
Seriousily ukishamwona mtoto wa majizzo unaongezekewa au kupungukiwa na nini?
Kuna watoto wameishi maisha nagumu sana kwa miaka mingu, ila hawajafikia hatua ya lugha chafu kama hiyoo.. kama mtoto ana lugha chafu kwa mtu alietoka kiunoni mwake, itakuwaje kwa watu baki ?Siwezi kujaji,sijui huyo mtoto aliyoyaishi magumu hadi kuwa na hasira kama hiyo.Kumbuka Baba yake alimuacha 10 yrs dry. Tena akiwa mtoto na sasa ni mtu mzima.
Mtoto ambaye hujamlea huwezi kusema ni wa kwako unajitenga na Familiya yako ten years with fucking bitches then unataka Kupata heshima?Unaweza muambia baba yako kama hivi ?View attachment 2590640
Wanaume nao wanakuja juu mkuu.Aaah and most of them ni wanawake . Nadhani the reason ni Kwamba hatupo busy na maisha ya utafutaji
Hiyo lugha imetokana na chuki aliyojenga dhidi ya baba yake.kipindi anakua kuna magumu alipitia na aliamini baba.yake angekuwepo angesolve. Huyo mtoto hawezi kumjibu mtu baki hivyo.All in all tuwalee watoto wetu katika hali zote,kumbuka hakuna mtoto alieomba kuzaliwa,ni sisi wazazi tuliamua kuzaa,hivyo ukizaa hakikisha unakuwepo kwenye maisha ya mwanao kwa mali na hali,katika hali zote .Kuna watoto wameishi maisha nagumu sana kwa miaka mingu, ila hawajafikia hatua ya lugha chafu kama hiyoo.. kama mtoto ana lugha chafu kwa mtu alietoka kiunoni mwake, itakuwaje kwa watu baki ?
Ndio maisha ya watu maarufu jambo lao likija in public azima liongelewe. Hamna cha jinsia wala nini umaarufu ni mzigo wa n'nya ukipita popote lazima nzi wakufuate.Wanaume nao wanakuja juu mkuu.
Aliyeanzisha huu uzi eti naye mwanamme.
Unaona ndoa ya mwanamme mwenzako imeteketea, familia imefarakana, eti na wewe unayejiita mwanamme unaeneza hizo habari mitandaoni.
Watu huwajui, hawakujui.
Unajipa umuhimu tu katika maisha yao!
Wazazi wa siku hizi ndo wanalea watoto wa siku hizi.Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.
Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.
Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.
Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?
Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?
Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.
Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.
Nimemaliza.
Sasa si mseme tu tunaeneza ubuyu wa watu maarufu tujue mmaeneza ubuyu tu?Ndio maisha ya watu maarufu jambo lao likija in public azima liongelewe. Hamna cha jinsia wala nini umaarufu ni mzigo wa n'nya ukipita popote lazima nzi wakufuate.
Eeeh ukiwa mtu maarufu jiandae na public opinion iwe ya kuonya ya kutukanwa etc. Kama hutaki hiyo kadhia usiwe maarufu.Sasa si mseme tu tunaeneza ubuyu wa watu maarufu tujue mmaeneza ubuyu tu?
Ya nini kujipa tabu za kujifanya mnaonya jamii, mnataka kufikisha ujumbe, wakati mnachotaka ni ubuyu, fitna, kusengenyana na kuwasema watu maarufu kwa schadenfreude tu?
Waswahili walisema, ndugu wakigombana, shika jembe ukalime. Wakipatana, shika kapu ukavune.
Wakati hii text imeingia mtoto alimshirikisha mama na mama ndiye aliyejibu hiyo jibu, sometime bora umfadhili punda atakubebea hata maji, sio mwanamke mpumbavu.Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
New generation kidsMtoto wako akikutukana ujue tatizo ni wewe mzazi ulie tukanwa.
Huwezi kuwageuza Watoto kama fimbo ya kumchapia mtalaka wako, hasa kwakuwa Wewe ndio mwenye custodian.Acha apate anachostahili,miaka kumi.hajui watoto wamekula nini,wamevaa nini,matibabu nk.Halafu anashowoff kwenye mitandao yupo kwenye Mahotel ya Lux .Yupo na mabilionea wa Kitz. From no where anakuja eti wayajenge.Kala ujana sasa uzee ndo anataka ahangaike na wanae.
Huyo mtoto wa kiume kumtukana hivyo Baba yake ni akikumbuka miaka 10 ya mateso bila Baba yake.Mtoto na block akapiga. Usimlaum Neema .Wale watoto wana miaka 18 +.Si watoto tena.