Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Hata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jambo
Hajatukanwa huyo lemutuz sema kaambiwa ukweli , naked truth
 
Watanzania tunapenda umbeya kuliko chochote.Si unaona Mange kajua na kakamata fursa. Imagine watu wanalipia app,instagram ya Mange eti kumuona mtoto wa majizzo,sijui kujua ugomvi wa Mond na Esma,sijui mtoto wa Nandy.
Seriousily ukishamwona mtoto wa majizzo unaongezekewa au kupungukiwa na nini?
Wabongo wengi mnapenda sana ubuyu.

Halafu style zenu za kuenezeana ubuyu sasa.

Mtu anaanzisha uzi unaona kabisa huyu anafurahia ubuyu, lakini anajifanya kama kahuzunishwa na hii habari anaileta hapa kuonya jamii.

Wakati unaona kabisa huyu anafurahia ubuyu!
 
Hajatukanwa huyo lemutuz sema kaambiwa ukweli , naked truth
Unaweza muambia baba yako kama hivi ?
Screenshot_2023-04-17-07-06-37-57.png
 
Hata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jambo
Siwezi kujaji,sijui huyo mtoto aliyoyaishi magumu hadi kuwa na hasira kama hiyo.Kumbuka Baba yake alimuacha 10 yrs dry. Tena akiwa mtoto na sasa ni mtu mzima.
 
Watanzania tunapenda umbeya kuliko chochote.Si unaona Mange kajua na kakamata fursa. Imagine watu wanalipia app,instagram ya Mange eti kumuona mtoto wa majizzo,sijui kujua ugomvi wa Mond na Esma,sijui mtoto wa Nandy.
Seriousily ukishamwona mtoto wa majizzo unaongezekewa au kupungukiwa na nini?
Aaah and most of them ni wanawake . Nadhani the reason ni Kwamba hatupo busy na maisha ya utafutaji
 
Siwezi kujaji,sijui huyo mtoto aliyoyaishi magumu hadi kuwa na hasira kama hiyo.Kumbuka Baba yake alimuacha 10 yrs dry. Tena akiwa mtoto na sasa ni mtu mzima.
Kuna watoto wameishi maisha nagumu sana kwa miaka mingu, ila hawajafikia hatua ya lugha chafu kama hiyoo.. kama mtoto ana lugha chafu kwa mtu alietoka kiunoni mwake, itakuwaje kwa watu baki ?
 
Aaah and most of them ni wanawake . Nadhani the reason ni Kwamba hatupo busy na maisha ya utafutaji
Wanaume nao wanakuja juu mkuu.

Aliyeanzisha huu uzi eti naye mwanamme.

Unaona ndoa ya mwanamme mwenzako imeteketea, familia imefarakana, eti na wewe unayejiita mwanamme unaeneza hizo habari mitandaoni.

Watu huwajui, hawakujui.

Unajipa umuhimu tu katika maisha yao!
 
Kuna watoto wameishi maisha nagumu sana kwa miaka mingu, ila hawajafikia hatua ya lugha chafu kama hiyoo.. kama mtoto ana lugha chafu kwa mtu alietoka kiunoni mwake, itakuwaje kwa watu baki ?
Hiyo lugha imetokana na chuki aliyojenga dhidi ya baba yake.kipindi anakua kuna magumu alipitia na aliamini baba.yake angekuwepo angesolve. Huyo mtoto hawezi kumjibu mtu baki hivyo.All in all tuwalee watoto wetu katika hali zote,kumbuka hakuna mtoto alieomba kuzaliwa,ni sisi wazazi tuliamua kuzaa,hivyo ukizaa hakikisha unakuwepo kwenye maisha ya mwanao kwa mali na hali,katika hali zote .
 
Kuna Mama Mdogo wangu she was married na Kupata watoto wa nne na kuachana na Mwanaume wake the reasons ya kuachana is where MAMA Mdogo Kupata kesi na kuwa mahabusu Hadi Gerezani kwa kumpiga mchipuko wa mme wake .

Alikaa ndani miaka 2 kipindi yupo Gerezani watoto wake walilelewa na Babu yetu na Bibi watoto jumla wanne .

Yule mme wake alikataa kutoa support hata kupiga simu Hadi watoto wakawa watu wazima Hadi leo hapigi simu Wala kutuma messages
Bahati mbaya Hawa watoto maisha yanawaendea wrong but the reasons ya maisha kuwa wrong ni kwasababu hawakupata malezi Bora kutoka kwa Baba Yao .

Sasa mjinga Kama huyu Mme wake na Mama Mdogo akijibiwa Kama watoto wa Lemutuz je atakuwa anaonewa ?

Wanaume wa Tz hawajitambui most of them wanawaza michipuko tu awaangalii the future of their kids lakini umri ukienda ndo wanaanza Kujitambua WTF
 
Wanaume nao wanakuja juu mkuu.

Aliyeanzisha huu uzi eti naye mwanamme.

Unaona ndoa ya mwanamme mwenzako imeteketea, familia imefarakana, eti na wewe unayejiita mwanamme unaeneza hizo habari mitandaoni.

Watu huwajui, hawakujui.

Unajipa umuhimu tu katika maisha yao!
Ndio maisha ya watu maarufu jambo lao likija in public azima liongelewe. Hamna cha jinsia wala nini umaarufu ni mzigo wa n'nya ukipita popote lazima nzi wakufuate.
 
Hata Kama hauna hela hakikisha unasapoti Familiya yako hata kupiga simu na messages Mimi najua Lemutuz is fucking father lakini kukaa mbali na Familiya yako bila hata kupiga simu Wala kuwajulia Hali lazima utaishia kuambia kuamamake na watoto wako
 
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

Nimemaliza.
Wazazi wa siku hizi ndo wanalea watoto wa siku hizi.

Tabia za siku hizi ni undava undava
 
Ndio maisha ya watu maarufu jambo lao likija in public azima liongelewe. Hamna cha jinsia wala nini umaarufu ni mzigo wa n'nya ukipita popote lazima nzi wakufuate.
Sasa si mseme tu tunaeneza ubuyu wa watu maarufu tujue mmaeneza ubuyu tu?

Ya nini kujipa tabu za kujifanya mnaonya jamii, mnataka kufikisha ujumbe, wakati mnachotaka ni ubuyu, fitna, kusengenyana na kuwasema watu maarufu kwa schadenfreude tu?

Waswahili walisema, ndugu wakigombana, shika jembe ukalime. Wakipatana, shika kapu ukavune.
 
Eeeh ukiwa mtu maarufu jiandae na public opinion iwe ya kuonya ya kutukanwa etc. Kama hutaki hiyo kadhia usiwe maarufu.
Kule celebrity forum tunamuongelea kanye west yupo marekani na tunamuongelea kama tunakaa naye nyumba moja. Na sio watanzania tu nchi yoyote mtu maarufu lazima jambo lake likija public liongelewe kwa kuonya, kushangaa na hata kupongeza
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Wakati hii text imeingia mtoto alimshirikisha mama na mama ndiye aliyejibu hiyo jibu, sometime bora umfadhili punda atakubebea hata maji, sio mwanamke mpumbavu.
Ila kama ndo mtoto ana guts hii, asee hata kama baba awe chizi kiasi gani karma will backfire
 
Acha apate anachostahili,miaka kumi.hajui watoto wamekula nini,wamevaa nini,matibabu nk.Halafu anashowoff kwenye mitandao yupo kwenye Mahotel ya Lux .Yupo na mabilionea wa Kitz. From no where anakuja eti wayajenge.Kala ujana sasa uzee ndo anataka ahangaike na wanae.
Huyo mtoto wa kiume kumtukana hivyo Baba yake ni akikumbuka miaka 10 ya mateso bila Baba yake.Mtoto na block akapiga. Usimlaum Neema .Wale watoto wana miaka 18 +.Si watoto tena.
Huwezi kuwageuza Watoto kama fimbo ya kumchapia mtalaka wako, hasa kwakuwa Wewe ndio mwenye custodian.

Pamoja na upuuzi wote wa Le Mutuz lakini alifanya jambo la maana sana kuandika historia yake kwa mkono wake kabla hajafa.

Kama unaujuwa upande wa Pili wa shilling wa William pamoja na mapungufu yake yote ambayo wengi tunayajuwa lakini hakuwa mbaya kihivyo kama tunavyotaka kuaminishwa.

Hizi tabia za kuwatumia Watoto kuwachapia baba zao kwa ugomvi wenu binafsi hazifai.

Leo hii Watoto hawajui kama mama yao alikuwa anakazwa hovyo ndio ugomvi ulipoanzia lakini hayo yote mnayaficha, je Le Mutuz naye awaambie mama yao Malaya?
 
Back
Top Bottom