DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hajatukanwa huyo lemutuz sema kaambiwa ukweli , naked truthHata ingekuwa miaka 100... kama zina charge huwezi mtukana mtu ulietoka viunoni mwake.. baba anabaki kuwa baba tu, hakuna baba wawili.. na sio tu kumtukana baba, haifai hayo matusi kumtukana mtu yoyote kwa mtu alie timamu.. zipo namna nyingi na lugha zenye stahaa za kuonesha hujapendezwa na jambo