Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa nini unaninyanyapaa kwamba mimi mpweke?Umri wa kukaa ughaibuni kwa Furaha ni kuanzia miaka 0 -50. Baada ya hapo ni mateso na kuwa na Msongo wa mawazo hasa kwa mtu ambaye unakuwa mguu mmoja tz na mwingine ughaibuni, unakuwa frustrated na mpweke kama Kiranga ! Jinsi ya kujikwamua ni kujiunga na kuwa na kijiwe kama JF. Kwa bahati mbaya kutokana na Msongo wa mawazo unakuwa na mitizamo hasi! Uha ndipo unaukaribisha! Nimeipenda analysis yako. Ughaibuni ni pahala pa kuchuma si pa kumalizia maisha yako
Nyie ndio wale wale ninaowasema mkimsoma mtu mitandaoni tayari mnajiwekea ukaribu wa kujitengenezea wenyewe kwamba mnamjua.
Mkuu mimi niko New York City, nimepewa tuzo na JF. Wiki hiyohiyo nimeipata tuzo yangu. Na sijaenda Tanzania. Jinsi network yangu ilivyo tight.
Sasa mtu mwenye upweke anawezaje kufanya kitu kama hicho?
Usinione sana mtandaoni tu ukafikiri mimi mpweke, mimi sina tatizo la upweke, mimi nina the opposite problem, too many people want to know me, too many people want to meet me, too many people are introduced to me, too many people want me to speak at such and such event, kiasi kwamba there is too much demand on my time by too many people.
Sasa nitakuwaje mpweke hapo?
To the contrary, nyie mnaokalia kufuatilia maisha ya watu ndio wenye upweke.
Maisha yenu yako empty mpaka mnaona myatie vitu interesting kwa kufuatilia maisha ya wenzenu.