Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kuna wapiga kura milioni 29, wafanyakazi wapo laki tano.

Mnapoteza muda hapo.
 
Je, Rais Dkt. Magufuli akishinda na Kurejea zake tena 'Madarakani' na 'akiyatekeleza' yote haya uliyoyataja hapa 'Kikamilifu' kabisa utasemaje tena?
Akishachaguliwa atasemea wapi tena, Mhutu ana roho ya paka na awamu hii ngwe ya pili kuna mambo mengi ya ajabu na kupindisha sana sheria maradufu zaidi ya awamu yake ya kwanza. Safari hii risasi njenje maana upinzani dhidi yake utakuwa umekuwa maradufu. Mtu wa pekee wa kusema maovu yake ni Lissu na sasa yuko imara. JPM ana kila dalili ya kung'ang'ania
 
Wameshaambiwa ni mwendo wa msoto tu hata waichagua tena ccm sasa nashangaa why wakurugenzi wa tume wanajipendekezea nn
 
Wafanyakazi wa umma hawawezi kuiacha CCM kwani huko kwingine wameambiwa kuwa waliokotwa majalalani.
 
Kuna wapiga kura milioni 29, wafanyakazi wapo laki tano.

Mnapoteza muda hapo.
Usiwasahau wahitimu wa vyuo, machinga, bodaboda na waliofukuzwa kazi.

Bado ngapi hapo?
 
niikatae ccm kwa kisa gani?
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.
 
Sababu zako za kuikataa CCM, hazina kichwa wala miguu.
 
Kama Kawa
 
Tuikatae mara 2? Naamini hata Kassim Majaliwa atampigia Lissu kura. Kwani yeye hataki nyongeza ya mshahara?
 
Kwa dalili na uhalisia wa kazi nzuri ya Rais Magufuli CCM itashinda kwa kishindo!
 
Jamaa kafanya mambo yote mazuri.Lakini kosa lake kasahau kuwa hata kama anajenga nyumba nzuri ya tofali na bati ilituondoke kwenye nyumba ya nyasi na udongo,lishe Bora kwa familia ni muhimu vinginevyo itapata utapia mlo na utapata hasara ya kuwatibu hospital kwa gharama kubwa
 

Na hivi kituo cha kupiga kura kipo nyuma ya nyumbani kwangu, Meko atajuta. Nimehamasisha wanafamilia sita wakajiandikishe na wote wana wachinjio.

Lazima tumfundishe adabu kama tulivyomfanyia 2015.
 
Baba anakula minofu pekee yake halafu sisi anasema tujifunge mikanda utafikiri tutaishi mara mbili.Kwa kweli ambao ujana umetukuta kwenye utawala huu,ujana umetukuta pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…