Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishachaguliwa atasemea wapi tena, Mhutu ana roho ya paka na awamu hii ngwe ya pili kuna mambo mengi ya ajabu na kupindisha sana sheria maradufu zaidi ya awamu yake ya kwanza. Safari hii risasi njenje maana upinzani dhidi yake utakuwa umekuwa maradufu. Mtu wa pekee wa kusema maovu yake ni Lissu na sasa yuko imara. JPM ana kila dalili ya kung'ang'aniaJe, Rais Dkt. Magufuli akishinda na Kurejea zake tena 'Madarakani' na 'akiyatekeleza' yote haya uliyoyataja hapa 'Kikamilifu' kabisa utasemaje tena?
Mjinga tu ndo atakataa kura sa wafanyakaziHata wakiikataa CCM hawana impact yoyote maana hawazidi laki tano nchi nzima
Usiwasahau wahitimu wa vyuo, machinga, bodaboda na waliofukuzwa kazi.Kuna wapiga kura milioni 29, wafanyakazi wapo laki tano.
Mnapoteza muda hapo.
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.niikatae ccm kwa kisa gani?
Sababu zako za kuikataa CCM, hazina kichwa wala miguu.-Annual increments kwa miaka mitano holaaaaaa!
-Nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano holaaaaa!
-Kupandisha madaraja baada ya miaka Sita au mitano.
-Kikokotoo hicho kinakuja, mstaafu utapangiwa matumizi na serikali hahaha, hela ni yako lakini utapangiwa matumizi,cjawah ona.
-Fao la kujitoa holaaaaaa, limeshafutwa
-Wanasiasa wa CCM kuingilia professional zenu
Halafu unakuja kuniambia utapandisha mishahara nikikaribia kutoka madarakani si ndio kipind hiki unatoka, Kwan una uhakika gani unarudi. Wafanyakazi wa umma uliyeumizwa na serikali hii usiku Ali tena upate maumivu, Sema basi CCM.
Kama Kawa-Annual increments kwa miaka mitano holaaaaaa!
-Nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano holaaaaa!
-Kupandisha madaraja baada ya miaka Sita au mitano.
-Kikokotoo hicho kinakuja, mstaafu utapangiwa matumizi na serikali hahaha, hela ni yako lakini utapangiwa matumizi,cjawah ona.
-Fao la kujitoa holaaaaaa, limeshafutwa
-Wanasiasa wa CCM kuingilia professional zenu
Halafu unakuja kuniambia utapandisha mishahara nikikaribia kutoka madarakani si ndio kipind hiki unatoka, Kwan una uhakika gani unarudi. Wafanyakazi wa umma uliyeumizwa na serikali hii usiku Ali tena upate maumivu, Sema basi CCM.
-Annual increments kwa miaka mitano holaaaaaa!

Kuanda daraja ni hatua ya juu sana ya kuongeza mshahara, kuliko zile nyongeza za mshahara (salary increment).Ukipanda daraja lazima mshahara upande?
Kwa dalili na uhalisia wa kazi nzuri ya Rais Magufuli CCM itashinda kwa kishindo!Huwa nachat na jamaa zangu wawili walitia nia kanda ya ziwa, wanasema Lissu ajiandae kuunda serikali ya mseto maana CCM itapata wabunge wengi lakini JPM atakosa ushindi. Hali ya maisha ni ngumu sana, LISU aangalie asifanye makosa ya kudharau hali ya maisha ya watu na kuhangaika na magorofa. Watanzania ni watu sio magorofa....
Hakuna kitu,jamaa jeuri sana.Mchagueni tena atawawaboreshea maslahi yenu
Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815
Baba anakula minofu pekee yake halafu sisi anasema tujifunge mikanda utafikiri tutaishi mara mbili.Kwa kweli ambao ujana umetukuta kwenye utawala huu,ujana umetukuta pabayaJamaa kafanya mambo yote mazuri.Lakini kosa lake kasahau kuwa hata kama anajenga nyumba nzuri ya tofali na bati ilituondoke kwenye nyumba ya nyasi na udongo,lishe Bora kwa familia ni muhimu vinginevyo itapata utapia mlo na utapata hasara ya kuwatibu hospital kwa gharama kubwa