Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kada kama ya ualimu ndio imeeongoza kutoa Viongozi wa nchi hii kede kede 80% lakini walimu hao wakishakuwa Viongozi awakumbiki walipotoka na kuwakumbuka wenzao walio juani wawapunguzie shida.Unakuta mwalimu anaishi kwa kutegemea bodaboda yeye akiwa ndie boda hadi alambe vichwa ndio aishi huku kadi zake za ATM akizisalenda kwa watoa riba lakini ndie anaeongoza kuisaidia ushind ccm ambayo ikishaupata haimkumbuki hadi uchaguzi ujao
 
Futa hii comment nakushauri,unaousema ujinga wao ndo umekufanya leo unaandika hapa na kuwadharau?
Na watumishi wanaoongoza kwa uzezeta huu (Mungu anisamehe) ni WALIMU.

Nikikumbuka walivyokuwa wananicharaza bakora kuufuta ujinga kwenye bongo yangu. Sikujua kumbe bongo zao ndo zinahitaji kufutwa ujinga zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa K wewe .!!!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
👍🙏
 

Attachments

  • 2316672_uvccm.jpg
    20.8 KB · Views: 2
Baada ya kusoma heading nilitaka kukutukana baada ya kusoma yaliomo ,, nimeamua kukuunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maiti ni wewe unayejificha nyuma ya keyboard dunia nzima wanaharakati ni Tanzania tu wanaojiita wanaume ambao siyo maiti wanajificha nyuma ya keyboard kisha wanaanza kubweka kama mbwa.
We ni mpiga dili wa awamu hii huna machungu na watumishi walionyimwa haki zao za kikatiba mna kiwango cha juu sana cha ubinafs
 
Mimi hata serikali inikate mshahara nibaki na nusu mshahara powaa tu ili mradi nibaki ofisini tu inatosha,umenielewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…