Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kuna tofauti gani kati ya ualimu na Halmashauri kwenye utumishi wa umma?
 
Assume mtumishi alikopa kipindi awamu hii inaanza let say mkopo wa miaka 5 akibakisha 1/3 ya mshahara pekee.

Baada ya kuanza biashara imekata, mkopo wa bodi umeingilia hiyo 1/3 na kufyeka mzigo.Kwa kipindi chote hichi anaugulia maumivu hatari.Hizo ulizotaja awali mshahara basic wa kuanzia hauzidi 950k uwe Mwalimu, Mhandisi, afisa utumishi,tawala, ict, ardhi, sheria n.k. Wakati kuna Taasisi kuna miamba inaanza na 1800k wakati wote mnamiliki degree.

Fungua biashara wakuletee Mlolongo wa makodi (pango, manispaa, mamlaka-TMDA,TPRI,ASA, TRA,CROP CESS).Cha msingi ni kuomba uzima tuu kutoka kwa Mungu Baba Mwenyezi tuu.
 
Sisi tulisha zoea japo shida haizoeleki, ni nawashauri vijana kujiongeza ikiwezekana kama sehemu ulipo kuna fursa ya shughuli zingine Fanya, kama kuna cha kuiibia seriikali iba tu, kama hakuna vumilia tu hivyo hivyo maana serikali hii ina chuki kubwa Sana dhidi ya watumishi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah ila kweli mkuu, ukipata nafasi itumie hakuna wazalendo nchi hii
 
Yaani hata kama asipoongeza milele na milele,wameshazowea,watakwenda tu kwa shida lakini watafika,mwisho wa siku mzunguko ndio unaoathirika zaidi na uchumi kudorora
 

Sijajua Kwanini unahangaika. JPM hajawahi kumfariji mtu kwa uongo wala kujipendekeza. Hana kipaji hicho ambacho wanasiasa wengi wanacho. So usimsingizie kwamba atawafariji. Inaonekana. Una JPM wa kwako. Unamtungia mambo. But for me. He is just straight. When he is right or when he is wrong. His intentions are always good but sometimes the language he uses, is not common to us.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatia aibu na karaha sana kwa kuwatesa.
 
Mkuu kwani tatizo nini?
 
Sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata vyuo vikuu hali ni Mbaya hakuta kuwa na Yale maboom ya kila baada ya miezi mi tatu kwa kiwango cha kila Sikh ambacho kiliasha zoeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…