Kupanga Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

Kupanga Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

Status
Not open for further replies.
S100 akifanikisha kufunga tanganyika xmas, lazma ataongoza muungano hadi 2035 au zaidi. Cha muhimu kwa wenyenchi na kutumia mbinu tofauti, Zenyewe mwazitambua sio lazma nieleze.
uongozi wenyewe ni dhaifu na hamna vyenye wanaweza gamble na maisha ya watu kila wakati kujihalalisha.
 
Mbona hii ndio siku nzuri.
Je, ni siku nzuri kwa wakristo watakaoshindwa kwenda kuabudu siku ya kuzaliwa kwa kristo?
Kama wanajipanga kwa hii, hapa wamecheza. Hakuna hujma wala nini, hii ndio siku sahihi. Yawe ya amani tu
Acha tuone kama kweli wamecheza au tumechezewa.
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Kwahiyo lengo ni kutumia wale wanaoenda kanisani kama ngao ya kuwakinga na madhara ya polisi. Bila kujali kwamba wengine wanaoenda makanisani pia wangependa kushiriki hayo maandamano.

Nakubaliana na wewe, ila kwanini si mwaka mpya ambao watu huwa wanatoka pia na ni sherehe kubwa zaidi?
Mwaka mpya sio kubwa kama christmass.
 
We gona sue the case am tellin’ ya 😝
Aaaash aaaah aaah uko race sana me nimesoma kidumu na fagio huku nikiweka fagio ndani ya kidumu na mbole nikiibeba kichwani na begi mgongoni,

Bila kusahau jembe mkononi
 
Umejibu point nzima ya uzi wangu.

Kufanya hivi ni either kutafuta mpasuko wa ndani kwa wale wanaosapoti maandamano, or ni ubinafsi wa kutojali matendo yetu yanaathiri vipi wengine, hasa linapokuja swala la ibada.
Huyo dada yupo USA hajali kinachotokea huku Tanzania na ameshawaambia kwamba yeye anayo ya kwake kule alipo.

Wapo watanzania wameshawagundua hawa wanaoandaa maandamano kuwa ni vijana wenye nia mbaya na uchumi wa TZ, wameapa kushughulika nao vilivyo.
 
S100 akifanikisha kufunga tanganyika xmas, lazma ataongoza muungano hadi 2035 au zaidi. Cha muhimu kwa wenyenchi na kutumia mbinu tofauti, Zenyewe mwazitambua sio lazma nieleze.
uongozi wenyewe ni dhaifu na hamna vyenye wanaweza gamble na maisha ya watu kila wakati kujihalalisha.
Hizi dharau zenu zinamuimarisha sana SSH anakuwa Rais anayejiamini, kumbuka JWTZ wamekula kiapo cha kumtii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom