Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #181
Namba ninayoifahamu ni: siku ya Noel ni ibada kubwa inayohudhuriwa na watu wengi kuliko ibada zote kwenye imani za kikristo. Mimi ni mkatoliki ambaye upande mmoja wa familia ni walutheri, kwahiyo nafahamu kupitia madhehebu haya ya wakristo, sijui mengine.Uchambuzi Wako umekosa kitu muhimu, namba. Ni asilimia ngapi ya wakiristu wanashiriki hizi ibada za ubatizo n.k?.
Kwa namba, siku hii kunakua na ongezeko la idadi za ibada kuliko jumapili au sikukuu nyingine zote ndani ya mwaka wa kanisa ili kumudu idadi kubwa ya waamini.
Kwa jinsi tunavyoishi kwenye jamii zetu kwa kutegemeana, siku za kidini tunasherehekea kwa umoja, hili la kupanga maandamano siku hii linapunguza ari na mwamko.Maandamano kufanikiwa yanahitaji watu kama laki 3 na kuendelea. Dar ina zaidi ya million sita. Yaani, 5% tu wakishiriki maandamano basi kutakuwa na impact.. kwa maana hiyo, watu wanaweza kuandamana na bado makanisa yakajaa watu wengi tu.
Naombea tukafanikiwe, nasapoti maandamano, ila kwa hili naona ni kama tunaenda kujikwaaa.