Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
No, thanks!welcome again![]()
No, thanks!welcome again![]()
Hakuna wa kumuuliza kwanini amependekeza hii siku?Maria anawaogoza vibaya hao watoto.
Huwezi kuandamana siku ya Krismass siku ambayo familia zinataka kuwa pamoja kwa utulivu.
So is New year's day (siku ya mwaka mpya)25th is very special day hence very important day, it'll make headlines globally.
Why would you want to sabotage your own people’s right to worship just to appease the global media?Whether there will be curfew or demonstrations it's gonna be huge shit in the global media houses.
be blessedNo, thanks!

Kundi la machawa!Unaniweka kundi gani?
"kushindwa kupanga vizuri ni kupanga kushindwa" Acha tukuamini kwamba vitu vitajiset vyenyewe huko mbele kwa mbele.At his point hakuna tamko tafaut kanisa litatoa..ukianza mapambano ni kusonga mbrle..
Viru vuta jiset mbele kwa mbele.
Kanisa haliwezi kua na ndimi mbili.
Ndio hiyo mbinu waandamanaji wanataka kuitumia, maana wakiwa peke yao watamiminiwa risasi mapema ila siku kama hiyo 25 sio rahisi polisi kutumia nguvu kubwa kama ile 29 october.Ilivyo muhimu kwa nani? wengi wanaotoka Chrismas huwa wanaenda wapi? au wanatoka kwa sababu gani?
Muwahoji basi waliwaza nini? wasiwasi wangu nimeueleza kwa kirefu kwenye huu uzi.
Blessings to you toobe blessed![]()
The goal is not to appease the global media, the goal is to oust the Samia's illegitimate regime.So is New year's day (siku ya mwaka mpya)
Why would you want to sabotage your own people’s right to worship just to appease the global media?
The question remains: why do it on Christmas Day, taking into account its religious importance and the potential division it could create among protestors?The goal is not to appease the global media, the goal is to oust the Samia's illegitimate regime.
Nchi haina dini, wananchi wana dini.Maandamano ni fujo, inchi haina dini, acheni kuipeleka kidini dini
Ficha upumbavu wako.Nimejiunga humu wakati bado unapengwa kamasi, huwezi kujua.
Hujawahi kuacha kureply kwenye pumba, una shida gani kwani?
Jifunze kunipuuza, itakusaidia.
Umejaribu kuliangalia hili suala katika angle tofauti na kutoa views zako kitu ambacho wachache sana ambao tupo upande wa kudai reforms tunaweza kukifikiriaUzuri wake uko wapi? nini kimekukosha?
Kwahiyo lengo ni kutumia wale wanaoenda kanisani kama ngao ya kuwakinga na madhara ya polisi. Bila kujali kwamba wengine wanaoenda makanisani pia wangependa kushiriki hayo maandamano.Ndio hiyo mbinu waandamanaji wanataka kuitumia, maana wakiwa peke yao watamiminiwa risasi mapema ila siku kama hiyo 25 sio rahisi polisi kutumia nguvu kubwa kama ile 29 october.
Nakubaliana na wewe, ila kwanini si mwaka mpya ambao watu huwa wanatoka pia na ni sherehe kubwa zaidi?Ni sawa na waandamanaji wangetoka ile D9, wangedakwa au kuuawa kama kuku tu.
Anza kuficha wewe kwanza!Ficha upumbavu wako.
The answer to that is very straightforward:The question remains: why do it on Christmas Day, taking into account its religious importance and the potential division it could create among protestors?
Kwa wakatoliki, hii ni moja ya siku kubwa zaidi za ubatizo wa watoto wachanga na wale ambao wanabadili dini ili kuwa wakatoliki. 

Wakristo vuguvugu ambao huenda kanisani mara moja kwa mwaka, huwa wanaenda ibada ya Noel (either mkesha wa usiku au ibada kuu).
Let’s see if the price to be paid is worth choosing such a significant religious day.The answer to that is very straightforward:
The aim is to get the maximum results, Xmas day is the biggest day in the calendar.
Fine, let's wait and see.Let’s see if the price to be paid is worth choosing such a significant religious day.
D25 may draw some attention, but it risks causing division and provoking backlash from the very institutions that have supported the movement.