Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Chawa mzoefu, huna kipya cha kuchangia? kila siku huchoki kusema yale yale ?Nyumbu mnapanga tarehe ya maandamano wenyewe alafu mnasingizia kuwa ni trick ya watawala kuyazika lini watawala wameunga mkono maandamano uchwara ya kinyumbu ya kuchoma nchi, wizi na uhalifu usio na kichwa wala miguu?
Msitafute sababu tokeni hata leo mkafanye ule uhalifu wenu