Kupanga Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

Status
Not open for further replies.
Point yangu ni kwamba njia inayotumika kuifluence raia kuandamana sio sahihi iko wazi sana inaipa serikali alert ya kujiandaa kuzuia protest.

Inatakiwa raia wajioganizi siku maalum ya kutoka kupitia kiongoz wao master mind mbeba maono...then asubuhi tu mapema dola inashituka raia wako road.
Hapo sawa.
 
Endelea na mapenzi mpenzi.

Hizi mambo zinaenda kama ngazi ni hatua kwa hatua.

Hakuna haja ya kulazimisha. FYI mapinduzi yameshafanyika na umma umeshashinda kilichobaki ni umma kuchukua power na mamlaka kwa asilimia kubwa.

Jiulize swali moja, nani alitegemea na kufikiri kama Kuna siku wabongo wataweza kuandamana na kuingia barabarani?

Amini nakuambia muda waja wengi kama si wote tutaimba wimbo mmoja.

Utekaji na mauaji utakapoanza kutokea kwa tabaka la wanaojiona wapo salama na wameshika Dola ndio itakuwa mwanzo na mwisho wa utawala dhalimu.

Kwa ufupi hakuna serikali imeshajiangukia imebaki jina tu.

Bora upige stori za mapenzi hayo mengine achana nayo kazi imeshamalizika.
Ni kweli maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali yamefanikiwa serekali imeshapinduliwa sahivi Rais ni Padre Kitime
 
Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi:

Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia nguvu na hatimaye kulizika. Hii nii old trick, usipoweza kuwashinda kwa wingi wao basi watengenezee mpasuko wapambane wenyewe kwa wenyewe.

Harakati za kudai haki na mabadiliko zimekua zikipewa msukumo na viongozi wengi wa madhehebu ya kikristo. Kupanga D25 (siku ya Krismas) ni kulazimisha kutoungwa mkono kwa maandamano na kuyabebesha sura mbaya ya machafuko dhidi ya wale wataonyang’anywa kwa lazima haki yao ya kuabudu siku hiyo.

Najiuliza:
Kwanini maandamano haya makubwa hayajapangwa tarehe 26 ambayo pia ni siku ya mapumziko? Dec 26 (boxing day) ni ijumaa inayofuatiwa na weekend ambayo inatoa nafasi nzuri ya kuendeleza maandamano bila kukoma. Kwanini yaanze tarehe 25? logic yake ni nini?

KWA WASIOJUA:

Siku ya Noel / krismas siyo sikukuu ya kidini tu, kwa madhehebu mengi ya kikristo hii ni siku ya kiimani ya familia na sikukuu ya watoto kupitia kuzaliwa kwa Kristo.

Kwa wakatoliki, hii ni moja ya siku kubwa zaidi za ubatizo wa watoto wachanga na wale ambao wanabadili dini ili kuwa wakatoliki. 

Wakristo vuguvugu ambao huenda kanisani mara moja kwa mwaka, huwa wanaenda ibada ya Noel (either mkesha wa usiku au ibada kuu). Hii ni siku ambayo makanisa yanafurika na kuhudhuriwa na watu wengi zaidi kuliko siku nyingine yoyote ndani ya mwaka.

******
Kupanga maandamano siku hii kutaleta mvurugano kwa kuwalazimisha baadhi ya wenzetu kuchagua kati ya imani zao za kidini au uzalendo wao kwa taifa - Kama unaamini tofauti, niambie wewe unalionaje hili?

MUHIMU - Walio karibu na wale waliopewa jukumu la kupanga hizi tarehe wajaribu kuwashauri, unless hao wanaopanga tarehe tayari wameshawahiwa na kupangwa na wadhalimu 🙁 kwa lengo la kufanya maandamano yafeli.

Jumapili njema!
Haya yameandaliwa na Waislamu kuwasomesha wakatoliki
 
25th-Dec ni siku sahihi kabisa, kinachotafutwa ni impact na commotion hivyo kuifanya siku hiyo kuwa sahihi kabisa. Those with determination will do whatever it takes to kick Samia out, tunataka wanajeshi wafagie barabara mpaka 2nd-Jan-2026 manake wameshageuka kuwa 'mahausiboi' wa taifa. Walipewa nchi on a silver platter wakajinyea uharo sasa acha wawe wafagia barabara wa kudumu.
 
Siku ya Krismasi hawatokata usafiri kabisa kwa ajili ya wanaoenda makanisani, labda na zile outing za sikukuu.
Ila kwa hali ilivyo sijui kwa mwaka huu itakuwaje.
KUFANYA MAANDAMANO NI RAHISI SANA TATIZO WANAO PANGA MAANDAMANO NI WAPUMBAVU...KUNAKITU HATARI SANA KINAITWA INVISIBLE PROTEST NDIYO KILITAKIWA KITUMIKE TANZANIA
 
na kosa linaanzia hapo kwenye kuhamasisha kupitia social media
Social media ndio kiungo kinachounganisha Genz kwa haraka hakuna mbadala.
Umeona hata Niffer alivyokamatwa Wakenya wakaanza kupost kwa njia ya utani mara Wanigeria nao wakadakia,Ghana nao wakadakia habari zikasambaa Afrika nzima ndani ya wiki moja.
 
Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi:

Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia nguvu na hatimaye kulizika. Hii nii old trick, usipoweza kuwashinda kwa wingi wao basi watengenezee mpasuko wapambane wenyewe kwa wenyewe.

Harakati za kudai haki na mabadiliko zimekua zikipewa msukumo na viongozi wengi wa madhehebu ya kikristo. Kupanga D25 (siku ya Krismas) ni kulazimisha kutoungwa mkono kwa maandamano na kuyabebesha sura mbaya ya machafuko dhidi ya wale wataonyang’anywa kwa lazima haki yao ya kuabudu siku hiyo.

Najiuliza:
Kwanini maandamano haya makubwa hayajapangwa tarehe 26 ambayo pia ni siku ya mapumziko? Dec 26 (boxing day) ni ijumaa inayofuatiwa na weekend ambayo inatoa nafasi nzuri ya kuendeleza maandamano bila kukoma. Kwanini yaanze tarehe 25? logic yake ni nini?

KWA WASIOJUA:

Siku ya Noel / krismas siyo sikukuu ya kidini tu, kwa madhehebu mengi ya kikristo hii ni siku ya kiimani ya familia na sikukuu ya watoto kupitia kuzaliwa kwa Kristo.

Kwa wakatoliki, hii ni moja ya siku kubwa zaidi za ubatizo wa watoto wachanga na wale ambao wanabadili dini ili kuwa wakatoliki. 

Wakristo vuguvugu ambao huenda kanisani mara moja kwa mwaka, huwa wanaenda ibada ya Noel (either mkesha wa usiku au ibada kuu). Hii ni siku ambayo makanisa yanafurika na kuhudhuriwa na watu wengi zaidi kuliko siku nyingine yoyote ndani ya mwaka.

******
Kupanga maandamano siku hii kutaleta mvurugano kwa kuwalazimisha baadhi ya wenzetu kuchagua kati ya imani zao za kidini au uzalendo wao kwa taifa - Kama unaamini tofauti, niambie wewe unalionaje hili?

MUHIMU - Walio karibu na wale waliopewa jukumu la kupanga hizi tarehe wajaribu kuwashauri, unless hao wanaopanga tarehe tayari wameshawahiwa na kupangwa na wadhalimu 🙁 kwa lengo la kufanya maandamano yafeli.

Jumapili njema!
Hoja zako ni zaifu mnoo
 
Social media ndio kiungo kinachounganisha Genz kwa haraka hakuna mbadala.
Umeona hata Niffer alivyokamatwa Wakenya wakaanza kupost kwa njia ya utani mara Wanigeria nao wakadakia,Ghana nao wakadakia habari zikasambaa Afrika nzima ndani ya wiki moja.
Ok fine wakiendelea na social media mimi sioni wakifanikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom