Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mayalla unataka kuwaamsha watz wafanye mapinduzi, ili kuwaondoa watawala was milele??, wanatheologia husema hakuna ukombozi bila damu, ndo maana yesu alimwaga damu msalabani ili ulimwengu ukombolewe, baada ya kushindwa kwa attempt ya mange kimambi, watawala wanaamini hakuna a tishio LA mapinduzi, chaguzi kwao siyo tishio tena.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Tena kama ingelikuwa ni mimi ningeliamuru wauwawe."Wafungwa wafanye kazi usiku na mchana kwa mateke",
hizi ni mbolea za binadamu.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Kwasabau wewe huna tafauti na Magufuli,bila shaka unawapiga watoto wako,mpaka na kuwachoma moto kwa kosa dogo tu..,..Jamii bora hujengwa na watu Bora,Magufuli pamoja na wewe hamkutoka katika jamii bora..Tanzania inataka baba wakuwalea na kuwaongoza sio wakuwadhibu..Tena kama ingelikuwa ni mimi ningeliamuru wauwawe.
Hata ile kauli ya tutatawala milele ni ya kutokujiamini, pia huende inadhihirisha madai ya mh. Lowasa kuwa alishindaKwa sarakasi ninazo ziona huko TUNDUMA kwenye maandalizi ya uchaguzi wa madiwani ni kweli ccm itatawala tena zaidi ya milele!!daaa kama hali ikiendelea hivi cjui!!ila sasa ninachojiuliza wapinzani wamepigwa marufuku kufanya siasa lakini mbona CCM unapofikia kipindi cha uchaguzi bado hawajiamini tena kuacha wananchi wakaamua kwa uhuru??bila vitisho??
Sasa ulitaka raisi atoe amri ya kulawitiana ili umsapoti kuwa amelelewa katika mazingira bora?!!Kwasabau wewe huna tafauti na Magufuli,bila sahaka unawapiga watoto wako,mpaka na kuwachoma moto kwa kosa dogo tu..,..Jamii bora hujengwa na watu Bora,Magufuli pampja na wewe hamkutoka katika jamii bora..Tanzania inataka baba wakuwalea na kuwaongoza sio wakuwadhibu..
Paschal ameongea maneno mazito kuliko unavyodhania.Paschal Mayala,naona unatafuta nafasi ya kuteuliwa...utaipata muda siyo mrefu hakuna kilichowahi kudumu milele chini ya jua
Sasa kama raisi anakataza wafungwa wasitembelewe na hawara zao Jela!! unafikiri nini kitatokea magerezani,tunatengeneza jamii ya kulawitiana "Kaumu Luti",..Sasa ulitaka raisi atoe amri ya kulawitiana ili umsapoti kuwa amelelewa katika mazingira bora?!!
Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Kwa hiyo wafungwa wa kike ambao ni wajane na wao wao waruhusiwe kutembea na askari magereza ili kuwafanya wasisagane?!!Fikiri kwa mapana na Marefu,hao walioruhusu wafungwa watembelewe na mahawara wanasababu zao za msingi,Ni mtu mjinga kama wewe na Raisi wako ndio tabu kufahamu hili,,..
You are not serious!! Unless hujui hasa maana ya neno milele!!Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Labda kwanza ungedefine hiyo milele ina maana gani .........!!Wanabodi,

Ndo maana hapo juu nimemwambia hayupo serious au hajui maana ya neno milele!!Labda kwanza ungedefine hiyo milele ina maana gani .........!!
Maana haijawahi tokea kitu kilijoanzishwa na mwanadamu kikasurvive milele. Hata Coca cola, one of the oldest products so far wanahaha sasa kujaribu kuiokoa isife.
Anyway, tatizo kubwa la CCM nguvu yao kubwa imeelekezwa kusurvive kwa CCM na si maendeleo ya nchi. Kila kiongozi anapoingia madarakani badala ya kufikiria ataifanyia nini Tanzania badala yake huwa anafikiri atafanyaje kuiacha CCM salama. CCM first then Tanzania!!
Actually, tatizo kubwa la viongozi wengi wa Kiafrica, they never worked to leave a LEGACY rather they work for a GAIN!!
Sio kila ukweli lazima usemwe, especially kwa watawala. Mtawala ni mtu ambae anaongoza watu wenye itikadi tofauti, dini tofauti, makabila tofauti, makundi mbalimbali na n.k. Sasa priority no.1 ya mtawala anayeongoza makundi tofauti lazima iwe ni kuwaleta pamoja watu wote, makundi yote yajisikie amani. sasa kunaweza kukawa na ukweli ambao unaleta msuguano baina ya makundi anayoongoza haina haja ya kuusema kama hauleti faida yoyote ni bora ukabaki nao ili unaowatala wafeel kama wewe ni kiongozi wa wote sio mbaguzi.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
ndio ccm wanavyoamini, hata ule mpango wa china ulioznduliwa jana pale kibaha umelenga kuviimarisha vyama vile ili vitawale mileleWanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi bo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Ndio maana nikakwambia hapo mwanzo kuwa bado IQ yako ndogo,unataka kuipeleka Jamii ya Kitanzania katika matatizo makubwa sana kwsababu unaona kuwapelekea wafungwa wanawake, na wanawake kuwapelekea wanaume, itakuwa umepoteza maana ya Mfungwa.,Sasa lipi bora jamii ingie kwenye janga la "kulawitiana" na "kusagana" au kuwaruhusu wafungwa wa kiume wapelekewe wanawawake na wale wa kike wapelekewa wanaume!??Kwa hiyo wafungwa wa kike ambao ni wajane na wao wao waruhusiwe kutembea na askari magereza ili kuwafanya wasisagane?!!
Maana nzima ya mfungwa itapoteza maana iwapo wataruhusiwa kulala na mahawara.