Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Nyie wazeni kutawala milele..
Lakini mfahmu kitu kimoja.. Hawa watanzania ndo wenye maamuzi ya mwisho!
Maovu mnayo wafanyia yana mwisho wake..!
Naona mnajifanya kuwapa dhahabu feki kwa mkono wa kushoto kisha mnawanyanyasa kwa mkono wa kulia..
Mnawapa elimu za reja reja kwa mifumo ya kijinga jinga ili kuwadumaza akili waendelee kuwaogopa na kuwategemea...!!
Time will tell!!
Hakika mtapata taabu sana!!
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
Mayalla unataka kuwaamsha watz wafanye mapinduzi, ili kuwaondoa watawala was milele??, wanatheologia husema hakuna ukombozi bila damu, ndo maana yesu alimwaga damu msalabani ili ulimwengu ukombolewe, baada ya kushindwa kwa attempt ya mange kimambi, watawala wanaamini hakuna a tishio LA mapinduzi, chaguzi kwao siyo tishio tena.
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
hizi ni mbolea za binadamu.
 
Tena kama ingelikuwa ni mimi ningeliamuru wauwawe.
Kwasabau wewe huna tafauti na Magufuli,bila shaka unawapiga watoto wako,mpaka na kuwachoma moto kwa kosa dogo tu..,..Jamii bora hujengwa na watu Bora,Magufuli pamoja na wewe hamkutoka katika jamii bora..Tanzania inataka baba wakuwalea na kuwaongoza sio wakuwadhibu..
 
Kwa sarakasi ninazo ziona huko TUNDUMA kwenye maandalizi ya uchaguzi wa madiwani ni kweli ccm itatawala tena zaidi ya milele!!daaa kama hali ikiendelea hivi cjui!!ila sasa ninachojiuliza wapinzani wamepigwa marufuku kufanya siasa lakini mbona CCM unapofikia kipindi cha uchaguzi bado hawajiamini tena kuacha wananchi wakaamua kwa uhuru??bila vitisho??
Hata ile kauli ya tutatawala milele ni ya kutokujiamini, pia huende inadhihirisha madai ya mh. Lowasa kuwa alishinda
 
Kwasabau wewe huna tafauti na Magufuli,bila sahaka unawapiga watoto wako,mpaka na kuwachoma moto kwa kosa dogo tu..,..Jamii bora hujengwa na watu Bora,Magufuli pampja na wewe hamkutoka katika jamii bora..Tanzania inataka baba wakuwalea na kuwaongoza sio wakuwadhibu..
Sasa ulitaka raisi atoe amri ya kulawitiana ili umsapoti kuwa amelelewa katika mazingira bora?!!
 
Paschal Mayala,naona unatafuta nafasi ya kuteuliwa...utaipata muda siyo mrefu hakuna kilichowahi kudumu milele chini ya jua
Paschal ameongea maneno mazito kuliko unavyodhania.

Here I quote "...katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi ..."
 
Sasa ulitaka raisi atoe amri ya kulawitiana ili umsapoti kuwa amelelewa katika mazingira bora?!!
Sasa kama raisi anakataza wafungwa wasitembelewe na hawara zao Jela!! unafikiri nini kitatokea magerezani,tunatengeneza jamii ya kulawitiana "Kaumu Luti",..

kwa mamauzi haya ya Raisi kila atakaetoka jela atakuwa kalawitiwa au kalawiti,akifika Uraiani kazi ni kueneza alichosoma Jela,ni nature ya binaadamu ukimkataza jambo atatafuta njia nyengine ya kulifanya jambo lile

Fikiri kwa mapana na Marefu,hao walioruhusu wafungwa watembelewe na mahawara wanasababu zao za msingi,Ni mtu mjinga kama wewe na Raisi wako ndio tabu kufahamu hili,,..
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea

Brother acha kujishushia credibility mkuu!! CCM itatawala milele katika mazingira gani ya hak bro?! Paskal wewe unajua democrasia inachofanyiwa, na huu ndo ukweli ambao ulipaswa kuuzungumzia. Sio vioja vya jukwaan eti CCM itatawala milele, kwa dhana ipi ya kifalsafa ambayo unaweza kuijengea fact? Kuna ukweli ulitolewa juzi kati na TWAWEZA, huu ukweli mmeuruka na hamtaki kuusikia kabisa. Time will tell. Paskal wewe ni mchambuzi mzuri sana ila unakoelekea una hali ngumu brother kwenye cognitive development, its like you are reterdating.
 
Fikiri kwa mapana na Marefu,hao walioruhusu wafungwa watembelewe na mahawara wanasababu zao za msingi,Ni mtu mjinga kama wewe na Raisi wako ndio tabu kufahamu hili,,..
Kwa hiyo wafungwa wa kike ambao ni wajane na wao wao waruhusiwe kutembea na askari magereza ili kuwafanya wasisagane?!!

Maana nzima ya mfungwa itapoteza maana iwapo wataruhusiwa kulala na mahawara.
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
You are not serious!! Unless hujui hasa maana ya neno milele!!
 
Labda kwanza ungedefine hiyo milele ina maana gani .........!!

Maana haijawahi tokea kitu kilijoanzishwa na mwanadamu kikasurvive milele. Hata Coca cola, one of the oldest products so far wanahaha sasa kujaribu kuiokoa isife.

Anyway, tatizo kubwa la CCM nguvu yao kubwa imeelekezwa kusurvive kwa CCM na si maendeleo ya nchi. Kila kiongozi anapoingia madarakani badala ya kufikiria ataifanyia nini Tanzania badala yake huwa anafikiri atafanyaje kuiacha CCM salama. CCM first then Tanzania!!

Actually, tatizo kubwa la viongozi wengi wa Kiafrica, they never worked to leave a LEGACY rather they work for a GAIN!!
 
Ndo maana hapo juu nimemwambia hayupo serious au hajui maana ya neno milele!!
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
Sio kila ukweli lazima usemwe, especially kwa watawala. Mtawala ni mtu ambae anaongoza watu wenye itikadi tofauti, dini tofauti, makabila tofauti, makundi mbalimbali na n.k. Sasa priority no.1 ya mtawala anayeongoza makundi tofauti lazima iwe ni kuwaleta pamoja watu wote, makundi yote yajisikie amani. sasa kunaweza kukawa na ukweli ambao unaleta msuguano baina ya makundi anayoongoza haina haja ya kuusema kama hauleti faida yoyote ni bora ukabaki nao ili unaowatala wafeel kama wewe ni kiongozi wa wote sio mbaguzi.

Mfano, katika kipindi cha Rais Obama akiwa madarakani aliutambua mji wa Tel aviv kama ndio mji mkuu Israel na hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuharmonize mambo ili aonekane hajalalia upande wa Israel wala Palestina. Sasa amekuja mtu wa type ya hao viongozi waropokaji wasiofikiria madhara kabla ya kuongea kabwabwaja kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel na anahamishia ubalozi wake kule tofauti na tamko la UN, tofauti na EU na Africa hali iliyopelekea machufuko na mimia ya watu kuuawa kwa ajili ya tamko la mtu mmoja tu. Obama sio kwamba alikuwa hajui kwamba mji mkuu wa Israel ni Jerusalem lakini kwa ajili ya kuleta amani ili watu wasiuane alichagua Telaviv

Sasa kipi bora ukweli unaoleta machafuko na mauji au kutumia diplomasia ya mazungumzo inayoleta amani na furaha baina ya pande mbili au zaidi hasimu.

Ushauri wangu, kiongozi huwa anajua mambo mengi sana ya nchi kwa sababu analetewa taarifa xa kijiinterejensia na wanausalama lakini kiongozi hana budi kukaa na ukweli wake moyoni kama hauna faida kwa taifa, hana budi kukaa kimya kama ukweli wake ni wa kibaguzi dhidi ya makundi anayoyaongoza.

Amani na upendo kwanza
Ukweli usio na faida badae

LoveTz
 
Unawezaje kuuzungumzia umilele wakati wewe huwezi kuishi milele.Au neno MILELE limebadilishwa maana.Kama miaka 20 iliyipota nchi haikua hivi ilivyo naamini pia miaka 50 ijayo nchi haitakua hivi ilivyo kwasababu viashiria vya mabadiliko ni vikubwa zaidi kuliko kurudi miaka iyo 20 nyuma.Lolote linaweza kutokea wakati wote.
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi bo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
ndio ccm wanavyoamini, hata ule mpango wa china ulioznduliwa jana pale kibaha umelenga kuviimarisha vyama vile ili vitawale milele
 
Kwa hiyo wafungwa wa kike ambao ni wajane na wao wao waruhusiwe kutembea na askari magereza ili kuwafanya wasisagane?!!

Maana nzima ya mfungwa itapoteza maana iwapo wataruhusiwa kulala na mahawara.
Ndio maana nikakwambia hapo mwanzo kuwa bado IQ yako ndogo,unataka kuipeleka Jamii ya Kitanzania katika matatizo makubwa sana kwsababu unaona kuwapelekea wafungwa wanawake, na wanawake kuwapelekea wanaume, itakuwa umepoteza maana ya Mfungwa.,Sasa lipi bora jamii ingie kwenye janga la "kulawitiana" na "kusagana" au kuwaruhusu wafungwa wa kiume wapelekewe wanawawake na wale wa kike wapelekewa wanaume!??

Kama hao wafungwa wa kike wanataka mabwana kwanini wasipatiwe???!!!,Askari Magereza kufanya mapenzi na mfungwa wa kike ni kosa la kikatiba kosa hilo halina tafauti na Mwalimu kufaya mapenzi na mwanafunzi.,lakini kama wafungwa wa kike hawakupatiwa hao mabwana basi uje askali Magereza watafanya nao mapenzi,...Obviously

Jamii bora hujengwa na watu wenye mawazo bora,Kuna jamii nyingi tu duniani zimeanguka kutokana na viongozi wao kutokuwa na hekima kwa wale anaowaongoza..
 
Back
Top Bottom