Mzungu utapata kirahisi mno , ila ni yake mafambaView attachment 3671303
The long wait ya kumpata muzungu
Bora awe ngozi nyingine tu🤣Unamaanisha wale hawana meno kwa kushindwa ku afford dental health care coz matibabu ya meno ni ghali sana huko mambelez?
Rahisi sana kuna mpaka content creators wa kukufundisha kupata wazungu.Na kwa upande wa sisi ke... vipi kuhusu kupata mtu ngozi nyingine
🤣🤣Utapata rijecti tu , wazungu wachache mno tena wale hoehae ndio wanaokoteza wamatumbi japo sio wote
Kijana wa kizungu classic boy kwa wadada au mdada pisi kali ya kizungu ni bahati mno kuipataRahisi sana kuna mpaka content creators wa kukufundisha kupata wazungu.
Ila sasa akikutesa unavumilia tu mpaka upate uraia wa uzunguni.