Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Hakuna mwanamke ambaye hapendi Hela.Kumbe na wazungu wanaangalia hela? Sasa mbona yule mmatumbi alikandia wanawake wa kibongo kuwa wanapenda hela? Lol
Sasa wewe na makebo yako yalivyo makubwa mzungu gani atakutakaMaisha yangu yote na kuizunguka hii dunia sijawahi kumtamani mdada wa kizungu, hawana mvuto kabisa
Umasikini tu unawasumbua wabangubangu tafuteni hela wala hamtawatamani hao
Na ulivyo choxo ndio utafirwa kisawasawa na mwanamke wa kizungu na miboro ya plastikiSasa wewe na makebo yako yalivyo makubwa mzungu gani atakutaka
Sema nini ba mtu, popote penye ela we nishtue!Sio mimi ma mtu😁
Yule dogo alieoa mtoto wa Ruto hawezi kuoa mzungu kisu? sio wazungu visu wote wana hela kama Beyonce. Sasa level za uchumi za mume wa Charlene Ruto mbona wabongo wapo wengi. Halafu mke wa marehemu Dr.Remmy mbona anaonekana alikuwa kisu? Sasa kama muziki wa Dr.Remmy ulimconvice mzungu kisu sembesu bilion za watu wa katoroNdivyo tulivyo bwashee wote hatuna hela , watoe kina mo mafisadi na genge
Rijecti la hapo rombo ni tumbo tumbo , mamtu , bora upate Rijecti la huko kwa wazungu , ulioe ndoa halafu uliache ubaki ma mbele kummmke 😅Ila bwashee tuwe wa kweli.
Riject la kizungu linaweza mpa mdada good life kuliko afisa wa kibongo.
Au unamaanisha riject la copenhegen litafanana na riject la hapo rombo
Shida kweli kweliSema nini ba mtu, popote penye ela we nishtue!
Wapo Mkuu, Ukraine kule wanaume kibao wamekufa sana na vita.Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno.
Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno.
Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake.
Ila vile vichunchuda vya kizungu unavyo viona kwenye movie au huko chudai utavisikia kwenye bomba gademitt.
Siwezi kukusahau kwenye ufalme wangu☺️Ma mtu nitakupa ramani ya vita , ila kwenye hesabu zako pasikose ka fungu kangu😁
Unatenga kama dk ngapi?Ndio maana natenga ka mda ka kukupenda ma mtu
Jamaa ana kizee hakina hata meno tena ahaoga wiki hicho kizee, akija mtaani anasema mimi mwanamke wa Kiswahili sitaki. Na date wazungu tu🤣 Yaani hicho kizee mnuko unaona umepata demu wa maana😂🤣Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake.
Mwanangu waache warudishe uchungu wa kutawaliwa na wakoloni😁Jamaa ana kizee hakina hata meno tena ahaoga wiki hicho kizee, akija mtaani anasema mimi mwanamke wa Kiswahili sitaki. Na date wazungu tu🤣 Yaani hicho kizee mnuko unaona umepata demu wa maana😂🤣