Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Hii mentality ondoa itakuchelewesha ukisoma kupata ajira sio lazima mbona unaonekana kama wataka kutafuta usawa wa tonge kama unga katafuta mzazi wako

Suala la ajira sio lazima serikali ikuajiri bali serikali ina wajibu wa kuhakikisha unapata elimu then ikutengenezee mazingira rafiki ili uweze kujiajiri au kuajiriwa sasa unaposema sijui mtu kakaa miaka 15 hawajamuajiri kwahiyo kasahau materials aliyosoma inahusika vipi na serikali hapo?

Yani unataka kupewa ajira kwa kuonewa huruma na si kwa vigezo? Eti kisa umemaliza 10yrs ago, je vipi wale ambao walipata bahati za taasisi binafsi hadi leo wanafundisha unawaweka kundi lipi?

Hoja ya kulalamika kuhusu kucheleweshwa kwa usaili nakuunga mkono ila usitie huruma ili uhurumiwe eti kisa wewe ni mwalimu hapana japo walituzoesha wenyewe lakini hatupaswi kutia huruma
Alafu mtu anasema asifanye interview kisa amesahau alichosomea kwasababu kamaliza zamani kwahiyo atafundishaje akiajiliwa ikiwa kasahau 🤣🤣 kweli interviews zimeibua madudu
 
Kusahau hakuna uhusiano na interview pia muda wa kukaa bila ajira sio kigezo cha mtu kuonewa huruma eti apewe kipao mbele

Paper iwekwe watu wagaragazane kwa kuotea atakae pata alama nyingi akapangiwe majukumu hamna kulia lia hapa hii kitu ya kulia lia ndio inaleta rushwa
 
Wakubwa wanakuwmbia this year no interview
 
Kusahau hakuna uhusiano na interview pia muda wa kukaa bila ajira sio kigezo cha mtu kuonewa huruma eti apewe kipao mbele

Paper iwekwe watu wagaragazane kwa kuotea atakae pata alama nyingi akapangiwe majukumu hamna kulia lia hapa hii kitu ya kulia lia ndio inaleta rushwa
Hoja siyo kusahau ,,, hoja ni usawa haupo ,,, huwezi mkarisha mtu miaka 8 ili uje umpe mtiani ,,, kama walitaka usawa basi interview ilibidi iwe kigezo toka mwaka 2015 na siyo sasa
 
Tunatofautiana namna ya kufikiri mkuu hasa hapo unaposema "wanamkalisha mtu miaka 8 ili uje umpe mtihani" kana kwamba elimu na ajira rasmi vina uhusiano wa moja kwa moja na nilazima iwe ni serikalini

Lengo la elimu ni kukutoa wewe tongo tongo uje upambane na mazingira yako ikiwemo ajira sasa hata ukikaa miaka 20 kuna shida gani

Yani mimi nisome la kwanza hadi chuo halafu nikipewa mtihani wa la kwanza nilalamike eti kisa ni miaka 12 toka nimalize la kwanza

Mimi nakuunga mkono unaposema wanachelewa kuleta usaili ili tuwahi kulamba asali au tuendelee na haso za kitaa ila interview na miaka ya kukaa kitaa bado havina uhusiano kabisa
 
Hii mentality ondoa itakuchelewesha ukisoma kupata ajira sio lazima mbona unaonekana kama wataka kutafuta usawa wa tonge kama unga katafuta mzazi wako

Suala la ajira sio lazima serikali ikuajiri bali serikali ina wajibu wa kuhakikisha unapata elimu then ikutengenezee mazingira rafiki ili uweze kujiajiri au kuajiriwa sasa unaposema sijui mtu kakaa miaka 15 hawajamuajiri kwahiyo kasahau materials aliyosoma inahusika vipi na serikali hapo?

Yani unataka kupewa ajira kwa kuonewa huruma na si kwa vigezo? Eti kisa umemaliza 10yrs ago, je vipi wale ambao walipata bahati za taasisi binafsi hadi leo wanafundisha unawaweka kundi lipi?

Hoja ya kulalamika kuhusu kucheleweshwa kwa usaili nakuunga mkono ila usitie huruma ili uhurumiwe eti kisa wewe ni mwalimu hapana japo walituzoesha wenyewe lakini hatupaswi kutia huruma
Wewe ni mpumbavu sana
 
Tunatofautiana namna ya kufikiri mkuu hasa hapo unaposema "wanamkalisha mtu miaka 8 ili uje umpe mtihani" kana kwamba elimu na ajira rasmi vina uhusiano wa moja kwa moja na nilazima iwe ni serikalini

Lengo la elimu ni kukutoa wewe tongo tongo uje upambane na mazingira yako ikiwemo ajira sasa hata ukikaa miaka 20 kuna shida gani

Yani mimi nisome la kwanza hadi chuo halafu nikipewa mtihani wa la kwanza nilalamike eti kisa ni miaka 12 toka nimalize la kwanza

Mimi nakuunga mkono unaposema wanachelewa kuleta usaili ili tuwahi kulamba asali au tuendelee na haso za kitaa ila interview na miaka ya kukaa kitaa bado havina uhusiano kabisa
Twende taratibu katika huu mfano wako

Mfano wako siyo relevant kwanini ??

Kwasababu huwezi fananisha mtihani wa la kwanza na wachuo ,, wote tunajua jinsi mitihani ya chuo ilivyo na vitu vingi na ndiyo maana hata wao sio wajinga kusema mtu asome per semister (miezi 4 tu ) na baad ya kuingia semister mpya vitu vya semister iliyopita havijirudii tena ask yourself why they don't repeat them ??

Lakini pia ,, time factor is also taken into consideration
Baada ya kumaliza miezi 4 tu wanakupa test ( U.E ),, tofauti na wanavyotaka kufanya utumishi

Tukirudi hata katika mfano wako wa mtiani wa la kwanza...... Kama mtihani wa la kwanza mtu atapewa baada ya miaka 10 mbele basi huo mtiani hautakuwa valid,,, kwanini ?? kwasababu hujazingatia time factor ( wewe ni mwalimu kasome zaidi test validity ,, factor that can affect test validity )

Mfano mzuri
Kuna askari polisi fulani hapa Tz alienda kufanya mtiani wa hesabu wa darasa la tatu pamoja na wanafunzi wa darasa hilo katika shule fulani ,, na mwalimu baada ya kusahihisha mitiani ile ukiwemo na mtiani wa askari polisi yule

Matokeo yalionesha askari polisi yule hakuna alichoambulja yani alipata sifuri kabisaa ,, wengi tulipoona clip ile mitandaoni tulicheka na kumkebei askari yule na kumuona hana akili

Lakin wengi tulisahau hii sababu ya time as one of the factor that can effect the validity of a test given to a student ,, yani kama ntakufundisha kitu leo afu nakuja kukupa mtiani wa hicho kitu nilichokufundisha baada ya miaka miwili mbele moja kwa moja huo mtiani hauko valid ..

Waziri Mkenda siyo mwalimu hivyo naweza kusema ndiyo maana kakurupuka kuingiza issue za interview kwa walimu na hoja yake ya kupata walimu bora ni hoja nyepesi mnoo aliyoitumia maana imeacha mashwari mengi kuliko majibu

Mfano why walimu bora je

- Ufaulu wa wanafunzi umeshuka??

- Wanafunzi huko madarasani hawaelewi kinachofundishwa ??

- Walikuwa wanachaguliwa na tamisemi siyo boraa ???

Na mengine mengi
 
Lakini bado haibadilishi hoja

Afu nikwambie kitu ,, Tanzania hii hakuna mtu hata mmoja anayesoma mpka kufika chuo eti ili apate elimu kwa lengo la kufuta ujinga hayupoo

Wazazi wanauza mashamba ,, ng'ombe mbuzi lengo likiwa tufike hadi elimu ya juu ili iwe rahisi kupata kazi tena siyo kazi tu bali kupata kazi serikalini ,, sijui unanielewa ???

Kama lengo la elimu ingekuwa kufuta ujinga basi elimu ya form 4 ilitosha kabisa
 
Validity unayosema ni for the matter of certification sio for employment

Yani labda hujahitimu ndio tukikupa mtihani out of content per semester or term ndio utasema tumekuonea ila baada ya kuhitimu all matters concern education are valid

Mimi sijasema kuwa kumpa muomba ajira test ndio njia ya kupima ubora hapana hilo hata mimi nalipinga nilichokuja kuelewa lengo la utumishi kuwakaanga watu na mitihani ni kuwapurura wabaki wachache na wengi watakao kosa wakose malalamiko eti kwanini hawakupata ajira

Kwahiyo tukija katika test za kupata ajira baada ya kuhitimu na kupewa cheti popote utakapoulizwa kwakuwa stage hiyo umepitia na ukapewa na cheti basi sehemu hiyo ni valid kama umesahau utumishi haituhusu
 
Ni perception tu wapi kwenye mtaala pameandikwa lengo la elimu tanzania ni kumuajiri muhitimu tena ajira za serikalini?

Kasome Goals and objectives of education in Tanzania kama utakuta hiyo kitu

Sasa kama mzazi anaamini hivyo kwamba ndio iwe hivyo hata kama siyo hivyo?

Ninachotaka kusema ni kuwa ajira ni haki ya mtanzania kwakuwa yeye ndio mlipa kodi lakini isiwe kwa huruma eti kisa mtu kamaliza 15yrs na akaacha mwenyewe kujishughulisha na maswala ya kielimu kwa sababu mbalimbali ndio apewe ajira bila interview wakati kasoma na kupewa cheti
 
Uhalisia uliopo huku mtaani ni Usome upate kazi ,,, utajificha kwenye maneno ya sijui uondoe ujinga,, sijui nini ??, lakin mwisho wa siku ni upate kazii

Hata muda huu tupo hapa tunabishana ni kwasababu ya kupata kazi

Hivyo mimi nakwambia kitu halisi kabisa
 
Validity unayosema ni for the matter of certification sio for employment

Yani labda hujahitimu ndio tukikupa mtihani out of content per semester or term ndio utasema tumekuonea ila baada ya kuhitimu all matters concern education are valid

Mimi sijasema kuwa kumpa muomba ajira test ndio njia ya kupima ubora hapana hilo hata mimi nalipinga nilichokuja kuelewa lengo la utumishi kuwakaanga watu na mitihani ni kuwapurura wabaki wachache na wengi watakao kosa wakose malalamiko eti kwanini hawakupata ajira

Kwahiyo tukija katika test za kupata ajira baada ya kuhitimu na kupewa cheti popote utakapoulizwa kwakuwa stage hiyo umepitia na ukapewa na cheti basi sehemu hiyo ni valid kama umesahau utumishi haituhusu
Lakini waziri wako wa Elimu ndiyo kasema hivyo

"Kuwa interview itatusaidia kupata walimu walio bora "

Je ,, nikisema kuwa hili la kutumia mtihani kupunguza watu ni lengo au maono ya kwako nitakuwa sahihi ??

Maana waziri mwenye dhamana hajalitaja hili yeye kazingatia katika uboraa tu
 
Uhalisia uliopo huku mtaani ni Usome upate kazi ,,, utajificha kwenye maneno ya sijui uondoe ujinga,, sijui nini ??, lakin mwisho wa siku ni upate kazii

Hata muda huu tupo hapa tunabishana ni kwasababu ya kupata kazi

Hivyo mimi nakwambia kitu halisi kabisa
Bado uhalisia wa perception za mtaani haufanyi ajira za gavoo ziwe za kuoneana huruma eti kisa umemaliza 15yrs ago kana kwamba moja ya malengo ya elimu ni kuajiriwa serikalini

Serikali ni muajiri kama waajiri wengine wa private ndio maana mtihani wa NECTA ni mmoja utofauti ni kuwa serikali ina ulazima wa either kuwaajiri wahitimu (wote wa shule za serikali na za binafsi) au kuwataftia ajira au kuwawezesha wajiajiri kwakuwa wanalipa kodi ila secta binafsi mara nyingi wanadeal na wale wakwao tu kwakuwa ile ni biashara

Hivyo kwenye mchujo wa kuajiri pia unaweza kufanana na ule wa secta binafsi kwani ajira ni zile zile tu. Sasa umeona wapi secta binafsi wakimuajiri mtu kwa huruma eti kisa kamaliza 15yrs ago kwahiyo kasahau materials tuache kutafuta justification
 
Lakini waziri wako wa Elimu ndiyo kasema hivyo

"Kuwa interview itatusaidia kupata walimu walio bora "

Je ,, nikisema kuwa hili la kutumia mtihani kupunguza watu ni lengo au maono ya kwako nitakuwa sahihi ??

Maana waziri mwenye dhamana hajalitaja hili yeye kazingatia katika uboraa tu
Hakuna ubora kwenye kitu inaitwa tiple choice hiyo kitu nishaelezea sana humu hata aseme raisi
 
Mkuu nipe connection basi huko Tamisemi maana nilikuwa nasubiri nikawakande utumishi wamegoma
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani, ndio maana sisi wabunge ni mashahidi, kila mbunge kwenye jimbo lake ana meseji lukuki za kuombwa kusaidia watu wapate ajira..kwa hiyo watu wanaoajiriwa kwa kuamini connection ndio imewapa ajira, wanapoingia ofisini wanaenda kufanya kazi kwa connection hizo hizo..." - Mbunge wa Sumve, Kasalali Emmanuel Mageni.
 
Twende taratibu katika huu mfano wako

Mfano wako siyo relevant kwanini ??

Kwasababu huwezi fananisha mtihani wa la kwanza na wachuo ,, wote tunajua jinsi mitihani ya chuo ilivyo na vitu vingi na ndiyo maana hata wao sio wajinga kusema mtu asome per semister (miezi 4 tu ) na baad ya kuingia semister mpya vitu vya semister iliyopita havijirudii tena ask yourself why they don't repeat them ??

Lakini pia ,, time factor is also taken into consideration
Baada ya kumaliza miezi 4 tu wanakupa test ( U.E ),, tofauti na wanavyotaka kufanya utumishi

Tukirudi hata katika mfano wako wa mtiani wa la kwanza...... Kama mtihani wa la kwanza mtu atapewa baada ya miaka 10 mbele basi huo mtiani hautakuwa valid,,, kwanini ?? kwasababu hujazingatia time factor ( wewe ni mwalimu kasome zaidi test validity ,, factor that can affect test validity )

Mfano mzuri
Kuna askari polisi fulani hapa Tz alienda kufanya mtiani wa hesabu wa darasa la tatu pamoja na wanafunzi wa darasa hilo katika shule fulani ,, na mwalimu baada ya kusahihisha mitiani ile ukiwemo na mtiani wa askari polisi yule

Matokeo yalionesha askari polisi yule hakuna alichoambulja yani alipata sifuri kabisaa ,, wengi tulipoona clip ile mitandaoni tulicheka na kumkebei askari yule na kumuona hana akili

Lakin wengi tulisahau hii sababu ya time as one of the factor that can effect the validity of a test given to a student ,, yani kama ntakufundisha kitu leo afu nakuja kukupa mtiani wa hicho kitu nilichokufundisha baada ya miaka miwili mbele moja kwa moja huo mtiani hauko valid ..

Waziri Mkenda siyo mwalimu hivyo naweza kusema ndiyo maana kakurupuka kuingiza issue za interview kwa walimu na hoja yake ya kupata walimu bora ni hoja nyepesi mnoo aliyoitumia maana imeacha mashwari mengi kuliko majibu

Mfano why walimu bora je

- Ufaulu wa wanafunzi umeshuka??

- Wanafunzi huko madarasani hawaelewi kinachofundishwa ??

- Walikuwa wanachaguliwa na tamisemi siyo boraa ???

Na mengine mengi
Nasikia mkenda alikuwa mkufunzi wa SUA.
 
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani, ndio maana sisi wabunge ni mashahidi, kila mbunge kwenye jimbo lake ana meseji lukuki za kuombwa kusaidia watu wapate ajira..kwa hiyo watu wanaoajiriwa kwa kuamini connection ndio imewapa ajira, wanapoingia ofisini wanaenda kufanya kazi kwa connection hizo hizo..." - Mbunge wa Sumve, Kasalali Emmanuel Mageni.
Huyo mbunge wa hovyo sana application ya tano hadi sasa sipati ajira yeye anaongea nini kama sio upuuzi
 
Back
Top Bottom