Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sukuma gang wote hawana pa kujificha kwenye hili.Lissu alisema tutashitakiwa Miga tukajitia wazalendo haya sasa kiko wapi[emoji38]
View attachment 2785109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang wote hawana pa kujificha kwenye hili.Lissu alisema tutashitakiwa Miga tukajitia wazalendo haya sasa kiko wapi[emoji38]
View attachment 2785109
Ingekuwa ni tusi basi Kabudi angemshitaki JiweMkuu Mpumba...ni TUSI ama sio TUSI? Nataka nijue kama nimtafute mwanasheria kabla sijatoa maoni yangu au 'nijiropokee' tuu!
Mkuu, umebeba mawazo yangu.CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.
Tulaumu watu wanaofanya haya maamuzi na watajwe hadharani ili wananchi tuwaachie au tuwahukumu. Siyo kila siku kutaja kitu kisichoonekana eti ccm.
Kumbadilisha nani na wapi?Kwanini uongozi mpya ulipoingia madarakani miaka yote hiyo haukuchukua hatua ya kumbadilisha na kuweka mwingine mahiri zaidi?
Umemusahau kikongwe faiza MbwehaTuwaulize wanazi Lucas mwashambwa ChoiceVariable haya mahela yanatolewa kwenye vote ipi ya bajeti.
Maana wao wanaijua seeikali kuliko hata waliomo ndani ya serikali
Hata Mimi nimeshangaa kuhusu mama was taifaNashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Mkwere unamuonea bure- mmetaifisha eneo- lipeni fidia mbaki na eneo tabu iko wapi?Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Hakuna upigaji hapo- hofu yako tuP hii nchi imejaa wapigaji watupu na kama hili chama likiendelea tutakwisha.Nchi hii yamejaa mapigaji tu.
Hakika aiseeeeJiwe alitufanyia mambo ya hovyo kuwahi kufanyika hapa nchini
Hujawahi Kuwa na hoja yoyote, yaani kama upupu unaoandika ndio unauita hoja basi KAZI IPOWewe wachana na upumbavu wangu, jibu hoja zangu, kama unaziweza.
Kwa kesi hii ya mwendazake na maprofesa wake ni bora tulivyokubali yaishe, tungeumia zaidi hivi mara kumi.
Kumbadilisha Mruma kwenye utetezi wa hiyo kesiKumbadilisha nani na wapi?
Pascal ameupa jina zuri "upumba"Hujawahi Kuwa na hoja yoyote, yaani kama upupu unaoandika ndio unauita hoja basi KAZI IPO
Huu ndiyo muonekano wenyewe maana hata ukiangalia scandal nyingi zilizopita nchini huwa zinajitokeza mwaka mmoja au miwili kabla ya uchaguziHizo ni mbinu za kukusanya pesa za kuhonga 2024/2025 kwenye chaguzi. Zitarudi ccm kwa mlango wa nyuma.
Tatizo siyo utetezi.Kumbadilisha Mruma kwenye utetezi wa hiyo kesi
Dola zenyewe tunazo?!!!!Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?