Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.
Tulaumu watu wanaofanya haya maamuzi na watajwe hadharani ili wananchi tuwaachie au tuwahukumu. Siyo kila siku kutaja kitu kisichoonekana eti ccm.
Mkuu, umebeba mawazo yangu.
Mpumbavu lazima atajwe ili ajulikane, hiyo ya kilasiku kuilalamikia CCM utadhani ni mtu nayo ni tatizo.
 
Pascal Mayalla hili ni shamba la bibi. Mimi muda mwingine Huwa nadhani Kuna watu waandamizi mijizi inatengeneza kesi ili tushindwe watupige pesa Kwa kisingizio Cha kushitakiwa.

Sijui kama nawaza vibaya lakini kwanini sisi TU Kila siku tunashindwa ivi mzee wangu Pascal Mayalla katika kumbukumbu zako ukirejea kesi tulizo wahi kushitaki au kushitakiwa Kuna ambayo tulisha wahi kushinda na kulipwa fidia kama ambayo sisi tunashindwa na kuwalipa fidia 😭 mabilioni ya pesa sawa na bajeti ya wizara 3 😭😭😭​
 
Tatizo wanasiasa, watu wanaenda na upepo. Hata kulipa haya makesi huko mbele tutajua mengi tu.
 
Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Hata Mimi nimeshangaa kuhusu mama was taifa
 
Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Mkwere unamuonea bure- mmetaifisha eneo- lipeni fidia mbaki na eneo tabu iko wapi?
 
jambo hili limekwisha,
nchi inasonga mbele, wananchi wanasonga mbele na kwapamoja tunaweza na tunasonga mbele zaidi.....
 
Hizo ni mbinu za kukusanya pesa za kuhonga 2024/2025 kwenye chaguzi. Zitarudi ccm kwa mlango wa nyuma.
Huu ndiyo muonekano wenyewe maana hata ukiangalia scandal nyingi zilizopita nchini huwa zinajitokeza mwaka mmoja au miwili kabla ya uchaguzi
 
Kumbadilisha Mruma kwenye utetezi wa hiyo kesi
Tatizo siyo utetezi.

Hata angepelekwa nani, hakuna cha kutetea.

Tatizo ni kubadili mikataba bila kufata sheria, ukidhani unaweza kujimwambafai katika sheria za Kimataifa.

Mpaka limefika pale, kwenda kulinywa tu. Walishalikoroga mbali kabisa.

Pale walikuwa wanakwenda kulamba perdiem za Kimataifa tu, walikuwa wanajuwa hakuna cha kutetea.
 
Sehemu yoyote ambayo watu hawana direct responsibility, huwa hawajali sana! Watu walifanya haya ili kupata utukufu binafsi (personal glory). Watu wanaweka taifa rehani, kisa sifa za kisiasa. Tatizo kubwa ni kwamba, nchi ndio inabeba haya maumivu, sio wao. Personal glory, public loses.

Na wataendelea
 
Back
Top Bottom