Kupika au kununua kwa mamantilie

Nimependa hi idea yako je Ni fruji la Bei gani itakuwa convenient kwa mtu mmoja
 
Vp lakini wapi ni very cost
Kwa nini usiwe mtundu na kulinganisha cost mwenyewe? Kwangu mimi naona kupika mwenyewe ni rahisi zaidi. Nasema hivyo kwa sababu linapokuja suala la cost naweka maanani pia na ubora wa chakula, na hata afya yako in the long term. Mama Ntilie wengine (wana viunjanja janja) na unaweza kujikuta unakula chemicals zenye madhara.
 
Kama ni Wali unapika hata wa wiki moja, ukiwa unapakua usikoroge koroge, Unauchota kama scaveta inachota udongo kisehemu tu mpaka chini, Hauchachi haraka [emoji3]
Hahaha, nyie watu nyie, ale wali week? Na hiyo kuchota kama scaveta [emoji119]
 
Oooh sorry,
Kwa dar kuku wa kisasa ni 7k kuku mzima, sijui wew upo wapi,
Wa kienyeji ni 15k ila uchakachuzi ni mwingi sanaaa
oh ok, mimi hao kuku hwapandagi kabisa,
Saso na kienyeji ndo wenyewe
 
vingine najua kupika ila zile chapati za kumimina zinanishinda kabisa
Safi, wanaume tukikaa vijiweni tunajazana ujinga kwamba kumsaidia mke kupika, kufua na kazi nyinginezo ni dalili ya udhaifu, limbwata nk nk.

Hongera kwa kuweka hadharani.

Binafsi nafanya hayo yote.
 
Reactions: apk
Hapa katikati nikajisahau sasa niko mbali na wife na mwisho wa wiki naanza ubachelor upya
huku nikiwa na mtihani wa kupunguza uzito!!
Safi, wanaume tukikaa vijiweni tunajazana ujinga kwamba kumsaidia mke kupika, kufua na kazi nyinginezo ni dalili ya udhaifu, limbwata nk nk.

Hongera kwa kuweka hadharani.

Binafsi nafanya hayo yote.
 
Hapa katikati nikajisahau sasa niko mbali na wife na mwisho wa wiki naanza ubachelor upya
huku nikiwa na mtihani wa kupunguza uzito!!
Kupunguza Uzito ukiweza penda sana Salads wenyewe wanaita mbogamboga, epuka vyakula vya wanga sana kama ugali, wali nk.

Nimewahi kujaribu nikaweza ila kwasababu zisizozuilika nikaachana navyo.

Nilikua nakula kwa mfano wa sahani yangu, samaki mchemsho, mbogamboga, avocado, glasi ya maziwa mtindi na maji mengi. Usiku vivo hivyo najitahidi kukataa vyakula vya kukaanga na mafuta sana.

Kama nyama basi iwe choma nk.

Nikaacha gharama yake nikaona kubwa kuliko mazoea [emoji3][emoji3][emoji3]
 
gharama kubwa kivipi? mimi nitapunguza baadhi ya vyakula.
pombe sinywi na soda nishazikataa.
naona matunda yapo cheap huku niliko.
 
Hotel safi kwa laki na nusu ujala kwa mwezi.
Angalau elf 20 kwa siku
 
Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots🤣, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Uwe na jokofu sasa.
 
1. Kama ishu ni kuokoa gharama, usipike kama upo mwenyewe.

2. Kama ni mvivu mvivu wa kuosha vyombo usipike. Utakaribisha mende sisimizi na panya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…