Nikiwa na elfu 10 tu naingia tandika pale sokoni nabeba viazi sado elfu 3, ndizi bukoba elfu 3, mihogo elfu 2, viazi vitamu elfu 2.
Naweza kupika kwa siku 4 na vikabaki
Ndizi rost karanga
Ndizi mchemsho
Viazi rost
Viazi mchemsho
Viaz kukaanga/chip - very rarely
Mihogo mchemsho
Mihogo kukaanga
Viazi mchemsho
Viazi kukaanga - very rarely
Yani mimi napika kiasi kwamba bibie anaogopa kuja kunisalimia, hajui atapika nini kiwe kipya kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni bora upike mwenyewe kama unajua kupika. unaweza kwenda kwa baadhi ya mama ntilie hayo maji tu ya kuoshea vyombo machafu balaa, kuna kisponchi flani kimepiga weusi ambacho anafutia meza hicho hicho kinaenda kwenye beseni kuosha sahani.
muda mwengine unaagiza supu anaileta supu dole gumba limezama kwenye bakuli likiwa na kucha kubwa nyeusi.
yani ni kinyaaa!
kuwa makini,hii ni sawa n kutembea na muwa kama mkongojo,[emoji23]Mtafute mmama mstaarabu,awe anakupikia special binafsi nilishindwa kula michuzi michuzi ile.
Nikatafuta Mdada nikaongeza Bei kidogo from Kutoka Bei yake,nikampa advance ya nusu mwezi akawa ananipikia ananiwekea kwa hot pots zangu nafika nakula home
nikagundua anachopikiwa mumewe ni tofauti na anachotuuzia sisi na nikizuri.nikaokoa muda na Fedha.
hii ni plan ya ni kwaajili Mwanaume Kamili pekee.Ukiwa na fridge,
Hio 150,000/- kwa mwezi unakula kifalme sanaaaa,
Mchele kg 10 25k
Nyama kg 3 21k
Kuku 2. 14k
Nyanya. 5k
Mafuta litre. 4k
Kiungo cha pilau 3k
Vitunguu & co. 5k
Gas 20/5months. 4k
Mboga majani. 3k
Njegere 3k
Sabuni. 1k
Total. 90k, na hapo utakula msosi mwingi sana wa kushiba, nyama utakula nyingi sio kama za mgahawani 2, pia utapata kiporo utakula milo mitatu per day,
Btw nunua rice cooker kupunguza kazi ya ku adjust gas na kusave time
kuwa makini,hii ni sawa n kutembea na muwa kama mkongojo,[emoji23]
Sikuhiz mbona sion zileFanya kile unachoona sawa...
We jamaa utafika mbali uko vizuriUkiwa na fridge,
Hio 150,000/- kwa mwezi unakula kifalme sanaaaa,
Mchele kg 10 25k
Nyama kg 3 21k
Kuku 2. 14k
Nyanya. 5k
Mafuta litre. 4k
Kiungo cha pilau 3k
Vitunguu & co. 5k
Gas 20/5months. 4k
Mboga majani. 3k
Njegere 3k
Sabuni. 1k
Total. 90k, na hapo utakula msosi mwingi sana wa kushiba, nyama utakula nyingi sio kama za mgahawani 2, pia utapata kiporo utakula milo mitatu per day,
Btw nunua rice cooker kupunguza kazi ya ku adjust gas na kusave time