Ndio, kwasababu unasifia kwa maslahi yako sio ya nchi hivyo unakuwa huna akili.Kwani kumsifia Samia ndio kukosa akili?
Shida ni hakuna la maana analofanya, JPM alikuwa strategic anawabinya pumbu wapumbavu na kujenga nchi. Sasa mtu ambaye vision hana akiwa na ukatili tena si ni disaster.M7 hacheki na kima wanaomkwamisha km Besigye, Bob Wine na mama asicheke na hao vibaraka ndio wa kwanza kuja kumkebehi humu. Asipoteze muda ktk kt kinaitwa maridhiano, asisikilize kelele yyte akiona uwekezaji unaolipa hawana wema hao wako kukukwamisha waje kukutukana
Tunamshukuru Mama kwa kutuondoa kwenye top 10😂Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.
July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Kwani inachukua muda basi, tayari wanayo mafuta wale!Uganda watakuja tupita siku 1
Jesus christ maan, hili shirika wameligeuza personal charter. No wonder shirika halileti faida, no body cares anymoreSiku nyingine unakuwa na akili na siku nyingine unamsifia Samia bila aibu hata pale ushahidi unaonyesha shortcomings!!
In the case of Air Tanzania suala sio kuwa halijawahi kuwa profitable bali ni kwamba licha ya kutotengeneza faida, madeni ya shirika yamezidi kukua unproportionately due to mismanagement and corruption and nobody seems to care! Mfano mzuri wa ATCL mismanagement ya ndege ni pale waziri Mwigulu alipochukua ndege ya shirika kupeleka mwili wa mkwe wake kwenda kumzika!! How do you justify such actions?
Takwimu haziongopi.. Waziri wetu wa pesa ana PhD ya uchumiKwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.
July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Malizia na: mzumbe university ziiiiiiiiiiiiiroooooTutuba oyeeeeee
Tena PhD first class ya jalalani university..Takwimu haziongopi.. Waziri wetu wa pesa ana PhD ya uchumi
I can bet any money kuwa huyo waziri wa fedha na Ph.D yake ya mchongo hajui athari ya sarafu ya nchi kushuka thamani ; na jinsi inavyoathiri uchumi wa nchi!Tena PhD first class ya jalalani university..
Kenya wana rais anayejielewa pesa za serikali hazichezewi kizembe!Deni halihusiki,wanaonuka madeni Hadi kwenye matrakooo ndio wapo Juu na bado wanazidi kukopa
View: https://x.com/Kenyans/status/1914989434828685650?t=vnvvnz1fiaBqMUjOQY7bqg&s=19
Ni kweli Hadi Dangote kaambiwa auze mafuta yake Kwa NairaNani Sasa aache ujinga? Mimi au IMF? Harafu wale ni Wataalamu sio mbulula kama wewe.
Kilichotokea Kwa Tanzania ndio kimetokea Kwa Nigeria na Ethiopia.
Nigeria mwaka huu ndio second worst performing currency baada ya Tanzania ,so unashangaa nini?
Acha kuropoka,wewe ni layman wa Uchumi
Halafu nchi ilivyo na mauzo ya nje kiduchu- tutajuta mwaka huu.I can bet any money kuwa huyo waziri wa fedha na Ph.D yake ya mchongo hajui athari ya sarafu ya nchi kushuka thamani ; na jinsi inavyoathiri uchumi wa nchi!
Soma uchumi ujue nguvu ya maji kwenye uchumiKuwa landlocked na Uchumi wapi na wapi?
Kenya wana rais anayejielewa pesa za serikali hazichezewi kizembe!
M7 apewe heshima zake ukizingatia na ule mradi wake wa mafuta ukianza atakua hashikiki.M7 Keshatufikia na ni land locked
Sema hacheki na pesa popote,M7 apewe heshima zake ukizingatia na ule mradi wake wa mafuta ukianza atakua hashikiki.
Mradi wa Mafuta umeanza kwenye value chain yake ya upstream na downstreamM7 apewe heshima zake ukizingatia na ule mradi wake wa mafuta ukianza atakua hashikiki.