DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yawezekana una less life experience hatuwezi endelea mbele zaidi .Watu watakuua sio kwakuwa umefanikio. Bali kwa kuwa Una mbinu au silaha au namna ya kuwafanya wafanikiwe.
Ni sawa useme wadada wasivae vizuri na kuonyesha maumbo Yao Kwa kuogopa wabakaji.
Hiyo ni kauli zinazotolewa kusapoti watu wabaya. Huwezi zisikia kwa watu Wema.
Kwamba watu wasionyeshe mafanikio kwa sababu kuna watu wabaya? Really?😆😆
Alafu kauli hii labda itolewe na watu wakawaida. Lakini wanaharakati ukiwakuta wanatoa kauli kama hii ujue hawajui wanapigania kitu gani
Jay Z alizungumzia mtazamo wake akijaribu kusisitiza hoja ya kuficha mafanikio Yao Kwa kuogopa watu wabaya.Serikali IPO
Ila Jay Z alizungumzia kitu kama ambacho umeelezea hapo juu kuwa watu hawana tatizo na wewe ila siku ukifanikiwa automatically unaingia ktk radar zao .
Is very is easy to be trapped by ur success yaani kama ambavyo unaweza ibadilisha laana kuwa baraka the same you gonna turn blessing into curse .
To be aware with life is very important.
Kumbuka hapa Tanzania 90% ya watu hawajafanikiwa na hawajastaharabika.
Au wewe Fanya hivi nenda katika kijiwe hata cha bodaboda au kahawa uanze kujisifu kuwa una nyumba , biashara , mashamba , biashara , umesoma n.k
Utaona watakavyo respond you will be shocked . Mkuu.
What you are talking about here applies to many africans societies and others as well.That's why i said from the beginning that sharing it is good things because it inspires others .But it is also carries risk such as unusual jealousy and unnecessary hatred.
Keep pushing foward,As you grow and gain more experience, I believe you will eventually understand me .Mafanikio madogo yote niliyonayo yapo mitandaoni. Na hayo madhara sijayaona zaidi naona yanawasaidia waliochini Yangu
Tatizo lako wewe unachanganya kati ya show-off na maisha halisi. Kwani unadhani hatujui Bakhresa ni tajiri na hatujui kuwa anaishi kwenye nyumba nzuri na maisha anayoishi ni kifahari? Hili tunajua lakini hata siku moja hatusemi kuwa anafanya show-off.😂😂😂😂
Yaani watu mnajua kuchezewa akili. Unafikiri kwa nini Matajiri hawataki kufanya hivyo? Hilo kwako ndio lingekuwa swali la kufanyia utafiti.
Matajiri wengi ni mabepari, na siri ya ubepari ni kunyonya wengine.
Kwa uelewa wako kipi kinanufaisha matajiri wachache.
Kupost utajiri wao ili uwaamshe nyie makapuku nanyi mtafute Mali muwe kama wao?
Au waigize na kujificha hawana Mali ili nyie Maskini na Makapuku muone mpo sawa nao na energy ya kupambana ipungue?
Kipi Bora?
Nataka nikuhakikishie kuwa binadamu ukimringishia utajiri au kitu kizuri naye atafanya juu chini awe nacho. Hii ni faida kwenye Jamii
Kwani watu wengi mtakuwa na Mali.
Lakini ukificha Mali au Jambo unatengeneza mazingira wachache wawe nalo. Huo unaitwa uchoyo.
Sasa mimi mada Yangu inazungumzia Jamii kuendelea.
Na Jamii haiwezi kuendelea kwa watu kuficha mafanikio.
Bado najua hujanielewa
Mkuu ndy nayapitia kwasasaUkipost mafanikio kwa sisi wabongo uwatengee na fungu kabisa la kutoa msaada.
Kuombwa, kukopwa, kuliliwa shida. Ukiwanyima ndio uadui unaanzia hapo.
Hata Robert Heriel Mtibeli kasema onesha mafanikio sio siri ya kupata mafanikioKama Mtibeli angeangalia hii video yote basi asingeleta huu uzi hapa,jamaa katoa maelezo mazuri sana,ametoa sababu nzuri sana kwanini unatakiwa uwe kimya kwenye nyendo zako na mambo yako
Je,unajua thamani ya Coca cola? Sio wingi wa magari yao au ukubwa wa pesa zao kwenye bank ILA ni ile formular ya kutengeneza ile ladha ya coca cola,only two people know the formula and are not traveling at the same airplane,kama wangetoa siri ya kutengeneza ladha ya coca cola basi kesho kungeibuka ladha mbali mbali zinazo endana na coca cola n mwisho wa siku coca cola ingekuwa kushiney/imekwisha
Always kuwa mkimya,kumbuka watu wenye nguvu ni wale wakimya kwasababu wanajua uwezo wao
please listen the all video ni unyama mwingi
Absolutely 💯What you are talking about here applies to many africans societies and others as well.That's why i said from the beginning that sharing it is good things because it inspires others .But it is also carries risk such as unusual jealousy and unnecessary hatred.
Katika takwimu au data Dunia ina watu wengi wabaya kuliko wema .Jay Z alizungumzia mtazamo wake akijaribu kusisitiza hoja ya kuficha mafanikio Yao Kwa kuogopa watu wabaya.
Lakini Mimi mtazamo wangu ni tofauti kuwa Mafanikio hayapaswi kufichwa kisa kuogopa waovu.
Sifa ni Mbaya.
Kwa nini nijisifu au kwa nini mtu ajisifu kwa sababu ya mafanikio.
Mtu mbaya ni mbaya tuu ufiche usifiche yeye ni mbaya
T
The existence of a government does not give you freedom to expose yourself in a way that endengers your life .Ndio maana Serikali zipo.
Na ndio maana wanatakiwa watu waadilifu na wenye haki wawe viongozi.
Mtazamo uliopo unaonyesha serikali za dunia bado zinakazi ya kufanya.
Yawezekana una less life experience hatuwezi endelea mbele zaidi .
Kama umeishi na jamii mbalimbali hauwezi kuongea unachoongea .
Wewe itakuwa kiasili unafanya kazi sana na strangers na umekaa na strangers muda mrefu
So you can't understand haya mambo.
Tena huyo kapanda ndege binafsiKuna wajinga wenyewe watakuambia kula na kupanda ndege nako ni siri.
Yaani kuna vituko dunia hii.
Watu wanataka uposti unanjaa tuu
Katika takwimu au data Dunia ina watu wengi wabaya kuliko wema .
Katika watu 10 basi wabaya 9 na mzuri au mwema 1
So lazima ujue umezungukwa na watu ambao hawatakubali u-shine on their eyes .
Nyumba😄😄😄😄
Mimi Kila mtu ni Stranger hata walionizaa. Hiyo ni Kanuni.
Na uzoefu wangu wa maisha unaanzia hapohapo kwenye Kila mtu kwangu ni stranger.
Najua binadamu kisaikolojia anawivu lakini wivu wake unatakiwa uwe WA kiadilifu.
Na sio vinginevyo.
Na ndio maana hata kama dunia ya sasa haisapoti watu kupost mafanikio yao. Lakoni Sisi Watibeli falsafa zetu na mitazamo yetu ni watu Wapost mafanikio yao.
Mafanikio ni Taa inayotakiwa iwekwe juu ya kianga. Na sio chini ya uvungu.
Ila mbinu,silaha na mikakati ndio hutakiwi kuposti.
Pesa sio mafanikio. Ila nyumba ni mafanikio. Magari nimafanikio, kupata kazi ni mafanikio. Kupata watoto nimafanikio. N.k.
And that is the absolute truth ,no one who truly has wealth will openly tell you that they have it .Absolutely 💯
Success always triggers jealous very and simple mathematics.
kama kweli unajua all you need is success you can't share ur shit on social media .
Show offs ni Kwa watu dhaifu wasiojiaminiHao wanaomchora mwingine kisa anaonyesha mafanikio yake ndio hawana Akili na wanaroho nyeusi.
Labda useme wametulia tuu.
Wewe kisa unadegree haimaanishi aliyemaliza diploma asifurahie na kuonyesha mafanikio yake.
Unaweza ukawa na degree ukawa haujafanikiwa kama huoni hayo ni mafanikio wakati aliyeishia Certificate akawa amefanikiwa kielimu kwa kukubali na kufurahia mafanikio yake.
Mtu yeyote mwenye mtazamo wa kusema Fulani anamchora Fulani au ninamchora Fulani anatatizo kubwa la kifikra.
wachoraji wengi wanapenda kusikia habari mbaya za watu kuliko nzuri.
Hawana kitu inaitwa appreciation
Utasikia yeye kapata ubunge anapiga kelele, angepata uwaziri je? Au Mawaziri au Rais anamchora.
Ni kauli za watu wenye fikra za kimaskini na wenye roho Fulani ya kukunja
Sijakupinga.
Ila amini nakuambia wabaya hawawi wabaya bila ya Watu wema kuruhusu au kukaa kimya.
Unapoona MTU Mwema anazidiwa ujasiri na mtu mbaya basi jua Yule mtu Mbaya ndiye Mwema.
Kwamba wewe uogope kupost mafanikio kwa sababu ya watu wabaya😂😂😂 you can't be serious Mzee.
Ni kwamba nawe ni muovu kwa namna Fulani tuu.
Nyumba
Gari
Watoto
Haya ni mafanikio ila ni personal (binafsi)
Ila Kuna Ile ume -boom ur name is everywhere na unafanya mambo kwa ukubwa una secure big deal
N.k hauwezi kuendelea ku-play on the same ground .
Jamii zetu bado sana lazima uwe msiri sana .
We jamaa una akili sana.Show offs ni Kwa watu dhaifu wasiojiamini
Mafanikio hayajifichi yatadhihiri machoninpa watu
1.Jay Z hana account Instagram, Facebook na kokote ila unamjua vizuri.
2 Akina na Ng'olo Kante, Eden Hazard, lewandoski, modrick hawana makelele kwenye social media na unawajua
3. Bill Gate hana makelele kwenye social media lakini kati ya matajiri top 10 duniani
4. Ronaldo na Messi wamefanikiwa katika football lakini hawana mbwembwe kwenye social media
5. Bakhresa ushamuona ana show offs
6. GSM ana pesa hana mbwembwe
7. Mo Dewji ushawahi kumwona ana post mapesa au yupo sijui wap.
Kaa na ujinga wako uamini kuwa akina chief Godlove ndo matajiri kumbe ni mafala tu
Show offs ni Kwa watu dhaifu wasiojiamini
Mafanikio hayajifichi yatadhihiri machoninpa watu
1.Jay Z hana account Instagram, Facebook na kokote ila unamjua vizuri.
2 Akina na Ng'olo Kante, Eden Hazard, lewandoski, modrick hawana makelele kwenye social media na unawajua
3. Bill Gate hana makelele kwenye social media lakini kati ya matajiri top 10 duniani
4. Ronaldo na Messi wamefanikiwa katika football lakini hawana mbwembwe kwenye social media
5. Bakhresa ushamuona ana show offs
6. GSM ana pesa hana mbwembwe
7. Mo Dewji ushawahi kumwona ana post mapesa au yupo sijui wap.
Kaa na ujinga wako uamini kuwa akina chief Godlove ndo matajiri kumbe ni mafala tu