Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.

Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
 
Dunia ina imani nyingi zaidi ya huo ukristo na uislamu unao fikiri ndio upo tu duniani kupangia watu namna ya kuishi .
 
Dunia ina imani nyingi zaidi ya huo ukristo na uislamu unao fikiri ndio upo tu duniani kupangia watu namna ya kuishi .
Kwenye dini zote izo hakuna dini ambayo ina heshimu tamaduni ,imani, mawazo ya watu wengi kama ukristo
 
Usiwaze bro hizi ni zama za mpinga KRISTO

Hayo yanayo endelea yalinenwa kwa vinywa vya manabii
 
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu najisemea subiri ukristo upotee uislam utawale kila sehemu Kuna wakaa uchi watautamani huu
Maana ndugu zetu hawa wakiwa wengi wataanzisha serekali ya kislam na masharti mengi

Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Acha kua na hofu na uislamu. Ulaya waliogopa sana uislamu ila walikosa namna ulishaingia tayari tena kwa kasi.
 
Mambo siyo rahisi kama unavyosema hivyo. Wakati Tawala za kiisilamu zimetawala Afrika na Ni islamic golden Age Africa ilikuwa bara lenye nguvu na ndio Ukasikia kina Mansa Musa na Empire mbalimbali.

Leo hii hapa Tanzania the so called Makabila yenye Nguvu ni Asante waarabu/Waisilamu kwa Kuyanyanyua Empire kama Kilwa ama Zanzibar Sultanate hazikuforce mtu aabudu chochote walitrade na Empire zisizo za kiisilamu bila kuwabagua, Leo hii Wachaga, Wahaya, Watu wa Iringa, Mbeya etc wengi walikuwa ni Patner wa zamani wa Hizo Empire.

Jiulize swali moja mkuu ukipata jibu lake utaelewa vizuri.

Kwanini Madhehebu ya Asili ya Kikristo yote yapo Middle East? Ukienda Lebanon kuna Maronite, Egpty kuna Copts, kuna Greek Orthodox etc kwanini Huka Ulaya Hawapo hawa kuna madhehebu ambayo yapo Chini ya Serikali ama ambayo yameanzishwa karibuni?

Je ni kweli wakatoliki waliwaua wakristo wote ambao hawaendani nao na kuwafunga Jela?

Ukipata jibu utakua atleast na mwanga fulani.
 
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu najisemea subiri ukristo upotee uislam utawale kila sehemu Kuna wakaa uchi watautamani huu
Maana ndugu zetu hawa wakiwa wengi wataanzisha serekali ya kislam na masharti mengi

Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Uislamu na Ukristo ni dini moja iliyotokana na Ibrahimu baba wa Imaan lakini mapokeo ya waarabu na mapokeo ya wazungu yakawa tofauti lakini chimbuko ni moja na ndio Dini zinazoongoza kwa kujiona Bora kuliko imani zingine zote na ndizo zinazoongoza kwa kutenga wengine kama sie wapagani na waabudu mizimu kwa kutuita majina ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom