Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Wakuu Habari.

Kama wiki 2 ziliopita nilikumbwa na mafua. Sio makali sana ila naamini ni kwa sababu nilitumia mashuka yenye vumbi.

Sasa bwana, narudi home nikapitia dukani nikanunua perfume flani. Nafika home najipuliza haitoi harufu ata kidogo. Nikajua nimeuziwa feki. Nikasema kukikucha nitaenda lalamika. Duh, bahati mbaya umeme ulikatika jana yake, nikawa nimezima friji niliogopa ukirudi vibaya utaunguza friji (sina stabilizer) uliporudi nikawa nimesahau kuwasha iyo jioni nalifungua vitu vyote vimeoza Ila hakuna harufu ata kiduuuchu. Yaani ata kiduchu.

Hapo ndio wasiwasi ukaanza. Angalau sukari na chumvi kwa mbaaali nasikia ladha ila vitu vingine sio harufu wala ladha KABISA.

Dalili zingine ni kifua kwa mbaaali kinabana, mwili upo fresh tu.

Nikahisi naweza kua na Corona so nikajitahidi mazoezi kuruka kamba, malimao na machungwa kunywa, chai ya tangawizi.

Nimejifukiza mwarobaini na mpera ila nikaona vinanitesa tu nikaacha.

Case ya kupoteza izo sense mbili, kuna jirani yangu pia amepata na amesema ila yeye imerudi.

Nilitumua baadhi ya dawa za kifua, mafua na maumivu pia nilishauriwa. (AMPICLOX, CETRIZINE NA PARACETAMOL).

Sahivi naendelea poa kabisa ila nimejitenga. Niliogopa sana nikajua ni Corona.

PS: Kunusa na Ladha bado sijarudi ila izo dawa nimeacha kutumia.
Asanteni sana.
 
Wakuu Habari.

Kama wiki 2 ziliopita nilikumbwa na mafua. Sio makali sana ila naamini ni kwasababu nilitumia mashuka yenye vumbi.

Sasa bwana, narudi home nikapitia dukani nikanunua perfume flani. Nafika home najipuliza haitoi harufu ata kidogo. Nikajua nimeuziwa feki. Nikasema kukikucha nitaenda lalamika. Duh, bahati mbaya umeme ulikatika jana yake, nikawa nimezima friji niliogopa ukirudi vibaya utaunguza friji (sina stabilizer) uliporudi nikawa nimesahau kuwasha iyo jioni nalifungua vitu vyote vimeoza Ila hakuna harufu ata kiduuuchu. Yaani ata kiduchu.

Hapo ndio wasiwasi ukaanza. Angalau sukari na chumvi kwa mbaaali nasikia ladha ila vitu vingine sio harufu wala ladha KABISA.

Dalili zingine ni kifua kwa mbaaali kinabana, mwili upo fresh tu.

Nikahisi naweza kua na Corona so nikajitahidi mazoezi kuruka kamba, malimao na machungwa kunywa, chai ya tangawizi.

Nimejifukiza mwarobaini na mpera ila nikaona vinanitesa tu nikaacha.

Case ya kupoteza izo sense mbili, kuna jirani yangu pia amepata na amesema ila yeye imerudi.

Nilitumua baadhi ya dawa za kifua, mafua na maumivu pia nilishauriwa. (AMPICLOX, CETRIZINE NA PARACETAMOL).

Sahivi naendelea poa kabisa ila nimejitenga. Niliogopa sana nikajua ni Corona.

PS: Kunusa na Ladha bado sijarudi ila izo dawa nimeacha kutumia.
Asanteni sana.
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati yako shukuru kinga zako.
hakuna swala la bahati katika hilo ishu no kuwa hiyo ni corona ni sawa lkn no ugonjwa wa kawaida tu ila kuna watu waliukuza kwa maslahi yao
lkn tatizo hili la kukosa uwezo wa kunusa na dalili zingnr limedhihirisha kwamba
kwanza hauambukizi km hvyo wanavyosema
mm nimepigwa wiki 3 lkn katika watu zangu wa karinu hakuna hata mmoja mpk sasa mwenye dalili au kuugua ama niliemuambukiza au kuwa na hizo dalili
na hapa kitaa asilimia wengi kwa haraka karibu 15 wameugua km hivi na familia zao ziko poa tu nyumba ninayoishi tupo watatu mm na mzee mwenyenyumba na jirani lkn wote tumepona na DAWA TATU tumeumwa lkn hakuna aliyecorupts zaidi naweza kubari umetushambulia sana wanaume kuliko wanawake
na mpk sasa muda huu sijasikiia hata mmoja ninayemfahamu au ndugu wa rafiki ama jamaa amekufa kwa corona yaan ile kuambiwa tu ndugu yangu fulani amekufa kwa corona sijasikia naweza sema kipindupindu ni hatari mara 10 ya corona
mm nawapa HEKO madocta wa hizi dispensary walokuwa wanatushauri tupumzike na kufanya mazoezi tungesema wote tujazane AMANA ndo tungekuwa tunajichimbia KABURI na tungekufa wengi sio kwa corona ni kwa ufinyu wa huduma na maradhi mengne ambayo tungeyapatia huko

hvyo mm naungana MAGU mzee wa mapapai tupige kazi CORONA ni mpngo wa wazungu kutubrainwash wafrica ili watunyanyase lkn nasema wamefeli limewarudia wao
mwarobaini limau tangawizi machungwa ndo kiboko ya CORONA
anayebisha abishe ila ukweli km wewe mtu wa kitaa ili utakuwa umeliona ila km wewe ni mru wa mitandaoni endelea kusikiza media za mabeberu zinakuza tu mambo
haiwezekani dawa wanazikataa hazitibu wkt sisi zinatutibu fresh na tunapona na uzuri ukishaanza kukosa kusikia halufu corona ndo inaondoka na huambukizi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB kunamtu alisema baada ya dawa kupulizwa Dar ndohili tatizo akalipata ila amepona nawengi wenyehili tatzo nkutoka Dar ndomaana mkulanga akasema madawa yachunguzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu, leo napenda niwashirikishe kuhusu hili.

Kwa mujibu wa madaktari wa USA kutokuwa na uwezo wa kusikia harufu yoyote ile wala kusikia ladha ya chakula, ni dalili moja wapo kuwa umeambukizwa Corona.

Binafsi kwa takribani wiki moja iliyopita nilikua sina uwezo wa kuhisi harufu yeyote hata ya sanitizer kitu ambacho kilinishangaza sana, kwani kabla nilikua sina tatizo hilo. Pia nilipatwa na homa na kuwa na kikohozi, kifua kiliniuma kwa mbali na kikohozi pia.

Kwanza nilihakikisha kila siku nakunywa maji ya limao na tangawizi nilikua nachemsha, nikawa na kula chungwa asubuhi na jioni, maji mengi pia nikatumia na panado.

Mungu mkubwa Jumamosi kwa mara ya kwanza uwezo wa kuhisi harufu ulirudi rasmi na pia nilipata uwezo wa kuhisi ladha ya chakula pia.

Kama kweli hiyo ni dalili ya corona basi mimi nimepona.

NB: Nilichukua sana tahadhari ili nisiambukize mtu mwingine ikiwa ni kujitenga na watu , kuvaa barakoa, kutumia sanitizer pia.

Enjoy the rest of the day
 
Kwa kifupi itabidi tujifunze kuishi na hii corona kama UKIMWI. Hii kitu ipo sana na kuidhibiti kabisa kabisa kwa miezi kadhaa ni ngumu.

Marekani wenyewe wanakaribia kusurrender kisha waendelee na maisha mengine kama kawaida.
Screenshot_20200506-081249.jpg
 
Habari wakuu?

Kuna uzi nilifumua humu Kuna member alilalamika hasikii harufu,Sasa Mimi juzi niliamka ninaumwa viungo na kichefuchefu nikapiga matangawizi na dicloper nikawa poa

Jana nikawa poa Leo pia Niko poa,ila Sasa sisikii harufu mpaka nisogelee kitu kwa karibu na pua

Mfano leo washkaji wanachoma nyama sisikii kitu chakula hakina test

Inaweza kuwa korona?
 
Kapime afya yako mkuu..

😂😂😂😂Nisamehe kwa kucheka mkuu...
Kwaio umefanya tathmini ni harufu zote au ni ya nyama choma tuu?
 
Fanya kuji-isolate na piga nyungu, hiyo ni moja ya dalili za korona ambayo ni miongoni mwa zile 6 zilizoorodheshwa na CDC...
 
Habari wakuu?
Kuna uzi nilifumua humu Kuna member alilalamika hasikii harufu,Sasa Mimi juzi niliamka ninaumwa viungo na kichefuchefu nikapiga matangawizi na dicloper nikawa poa
Jana nikawa poa Leo pia Niko poa,ila Sasa sisikii harufu mpaka nisogelee kitu kwa karibu na pua
Mfano leo washkaji wanachoma nyama sisikii kitu chakula hakina test

Inaweza kuwa korona?
Corona hhiyo mzee baba hata mimi hapa najshtukia maana nahis mbavu zinauma uma flani toka juzi na nachoka choka halafu nina mafua yasiyo toka nimeanza nyungu
 
Back
Top Bottom