Ikukute unakinga dhaifu ndo utaijua vizuri...haikuachi.. Hii kitu sio poa iskie tu kwa mbaliSasa kama ni hivo si ni kama mafua tu,maana hapa hamna anayeonyesha imemtesa sana kama tunavyosikia inatisha
Sasa kama ni hivo si ni kama mafua tu,maana hapa hamna anayeonyesha imemtesa sana kama tunavyosikia inatisha
Nasikia ikifikia ivyo kutohisi ladha au harufu ndo inapoteaHii ni dalili ya CORONA KABISA HATA MIMI NDIO INAISHIA ISHIA DAAH CORONA NUX SANA AISEE..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu inategemeana na Kinga zikoje na kutesa inatesa mwanzoni Ile viungo kuuma na koo kuwasha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikukute unakinga dhaifu ndo utaijua vizuri...haikuachi.. Hii kitu sio poa iskie tu kwa mbali
Ikukute unakinga dhaifu ndo utaijua vizuri...haikuachi.. Hii kitu sio poa iskie tu kwa mbali
Mbona hizo antibiotics nyingi sana?
Basi ndo maana ulaya iliua sana wazee
Alikua anaumwa ugonjwa gani mwingine mkuuSana. Kuna mtu niliongea naye saa 10 imefika saa 12 kanipigia anasema "nakufaaa, pumzi inaisha". Saa 12 na nusu akafariki[emoji24][emoji24][emoji24]. This shit is real..ikikuta mwili una madhaifu mengine you're done!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua uzoefu korona ni ya wote...
Tangawizi na limau ukiwahi mapema inakua ni nafuuNilipitia hii hali hii week nzima aisee mafua makali kichwa kuuma mbavu zinabana sisikii radhaa ya chochote mgongo unauma usiku nikawa naamka nakaaa tu kikiuma hichi kinaacha kinaanza kuuma kingine.baaadaye nikaanza kohoa kifua kikavu hakiishi.nipo mkoa kikazi ikabidi nipige simu na kuwaambia mwenzenu sijui kama nitatoboa piga simu kwa watu wangu wa karibu woteee.ikabidi nitafute limao na tangawizi ndio ikawa pona yangu.huu ugonjwa unatesa aisee pumzi inakata ukivuta hewa mapafu yanauma daaaah asante Mungu
nimetafuna lile nani linalosambaa huku mitandaoni,Polee sana,njia gani umetumia kupona maana hali yangu ni dhohofu
A gni umetumiakuoona
kuna Siku nilibanwa pumzi usiku nahangaika nikamwamsha dogo akanichemshia maji akayatia chumvi nikaweka usoni nikapata ahueni,Sana. Kuna mtu niliongea naye saa 10 imefika saa 12 kanipigia anasema "nakufaaa, pumzi inaisha". Saa 12 na nusu akafariki[emoji24][emoji24][emoji24]. This shit is real..ikikuta mwili una madhaifu mengine you're done!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo ni kupambania tu uhai wako kwa njia yeyoteHiyo ni Corona ..
Shukuru Mungu ni mild kwako
Wengine inawaua
Ukiipata hii hali ndo utatambua kila kitu kina umuhimu kwenye mwili wa binadamu