Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Sasa kama ni hivo si ni kama mafua tu,maana hapa hamna anayeonyesha imemtesa sana kama tunavyosikia inatisha
Ikukute unakinga dhaifu ndo utaijua vizuri...haikuachi.. Hii kitu sio poa iskie tu kwa mbali
 
Aisee Mungu atuvushe tu,sasa imagine kama ni yenyewe na hawa wanaocomment hapa wapo na familia zao si ndo kuambukiza halafu we umepona
Ikukute unakinga dhaifu ndo utaijua vizuri...haikuachi.. Hii kitu sio poa iskie tu kwa mbali
 
Sana. Kuna mtu niliongea naye saa 10 imefika saa 12 kanipigia anasema "nakufaaa, pumzi inaisha". Saa 12 na nusu akafariki[emoji24][emoji24][emoji24]. This shit is real..ikikuta mwili una madhaifu mengine you're done!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipitia hii hali hii week nzima aisee mafua makali kichwa kuuma mbavu zinabana sisikii radhaa ya chochote mgongo unauma usiku nikawa naamka nakaaa tu kikiuma hichi kinaacha kinaanza kuuma kingine.baaadaye nikaanza kohoa kifua kikavu hakiishi.nipo mkoa kikazi ikabidi nipige simu na kuwaambia mwenzenu sijui kama nitatoboa piga simu kwa watu wangu wa karibu woteee.ikabidi nitafute limao na tangawizi ndio ikawa pona yangu.huu ugonjwa unatesa aisee pumzi inakata ukivuta hewa mapafu yanauma daaaah asante Mungu
 
Tangawizi na limau ukiwahi mapema inakua ni nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati unaweza kujikuta mbavu zinakubana kwa kucheka vituko vya watu.
 
Sana. Kuna mtu niliongea naye saa 10 imefika saa 12 kanipigia anasema "nakufaaa, pumzi inaisha". Saa 12 na nusu akafariki[emoji24][emoji24][emoji24]. This shit is real..ikikuta mwili una madhaifu mengine you're done!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna Siku nilibanwa pumzi usiku nahangaika nikamwamsha dogo akanichemshia maji akayatia chumvi nikaweka usoni nikapata ahueni,
Ila homa yake kiboko unasikia kama moto ukioga maji baridi yakianzia kichwa ni yakifika miguuni ni ya moto,
Mafua hakuna Ila pua zinakaba ndani kwa ndani.
 
Dah Corona hiyo tena ni mbaya sana inaweza kusababisha stroke!
 
Back
Top Bottom