Hivi mnajua nyinyi wote mna Corona?
Ila hamjijui?.na kuna watu watafikiri natania..
Kumbe Corona imesambaa hivi?
Mi mbona nilianza kula aspirin Kama Sina akili,action kila baada ya masaa 4,Hadi maumivu ya kwenye roho yakapoteaDah Corona hiyo tena ni mbaya sana inaweza kusababisha stroke!
Umetafuna nini?nimetafuna lile nani linalosambaa huku mitandaoni,
nikameza paracetamol
nikasaga kwa pamoja Tangawizi na garlic na karafuu
kila baada ya masaa mawili nachemsha maji naweka Hiyo mixer
Mkuu corona ni clinical finisher,Kama haupo ndani ya kumi na nane haina shida sana,Ila jisikie hivyo harafu kasalimie wazee wako Kama wanaumwa umwa,ndo utajua Covid- 19.Wewe unadhani magu haipendi Dar?Sasa kama ni hivo si ni kama mafua tu,maana hapa hamna anayeonyesha imemtesa sana kama tunavyosikia inatisha
jani sijui linaitwa nini!
Mi toka jana ndo imeanza iyo hali ya kutosikia harufu au ladha yoyote na pia kuna kitu kama kimekwama kooniSehemu ninapofanyia Kazi karibia watu 10 wote tulipata hiyo changamoto.. Kupoteza uwezo kupata ladha na kunusa harufu yoyote..
Ukipitia machapisho mbalimbali katika mitandao inayo aminika kama Medscape.. Hali hiyo ni ishara kwamba umepata maambukizi ya CORONA (mild) siyo maambukizi yale makali na sasa upo katika "recovery stage" kwa maana kinga yako ya mwili imeweza kupambana na maambukizi hayo.
CORONA ipo na wengi tumepata maambukizi kiasi kwamba naamini muda si mrefu tutapata ile "herd immunity" na ugonjwa utakuwa dormant... Ila tutapata shida sana maana sio kila mtu atapata hiyo bahati ya kupona hayo maambukizi kwa kuwa na kinga imara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una corona,please jitenge na wazazi wako au mtu yeyote unaedhani anaweza kuwa dhaifu kiafyaMi toka jana ndo imeanza iyo hali ya kutosikia harufu au ladha yoyote na pia kuna kitu kama kimekwama kooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hali ya kitu kama kukukwama kooni iliisha kwa kutumia nini?jani sijui linaitwa nini!
Hii hali niliipitia mwezi Januari 2020!Niliona kama nakufa vile,mwili ukawa kama umepondwa na mawe,
nabanwa ndani kwa ndani macho yanatoa machozi tu,
harufu hata ya chooni sisikii..
mliopitia haka kaupepo poleni naelewa shida zake
Hio ndio Covid 19. Bila kupepesa..Nilijaribu kutafuna hadi pilipili kichaa ndo nikawa nasikia kamuwasho kwa mbaliii, na limao ndo nahisi ladha kwa mbaliii, hii ni baada ya kupitia changamoto zifatazo; kuumwa kichwa kusikoeleweka yaani kichwa kizito tuu, kichomi, mgongo kuuma, misuli, kikohozi, mafua yasiyoeleweka yaani pua haikuziba. Matibabu niliyo tumia.ciproflaxin dozi, orodar,ampiclox dozi, metro dozi, brufen, limao, tangawizi,kitunguu sahumu, juice ya ukwaju, juice ya pera, peasi.
Baada ya kupata nafuu nikabaki na hii dalili chakushangaza leo wamekuja kunyonya choo jirani kila mtu analalamika harufu nawashangaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una corona,please jitenge na wazazi wako au mtu yeyote unaedhani anaweza kuwa dhaifu kiafya
Mange kaelezea vizuri sana...
Mimi niliumwa mwezi wa 12. Hospitali kwenda kupima sina kitu..Yah jana alieleza vizuri sana na mi ndo kustuka kumbe nipo kwenye recovery stage. Mkuu hii kitu Kinga zikiwa imara haisumbui sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh ....... jamaniiii!Sana. Kuna mtu niliongea naye saa 10 imefika saa 12 kanipigia anasema "nakufaaa, pumzi inaisha". Saa 12 na nusu akafariki[emoji24][emoji24][emoji24]. This shit is real..ikikuta mwili una madhaifu mengine you're done!!!
Sent using Jamii Forums mobile app