Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Mi naomba kuuliza hv huu ugonjwa hakuna watu wanaugua tu uko majumbani Hadi wanapona au kupona Hadi hospital? Yani mtu anaumwa baadae ugonjwa unaondoka wenyewe? Maana nilisoma mahali kuwa Kuna nchi Hadi ukishindwa kupumua ndo unawapigia wanakufata,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha hapa yenyewe najihisi nanyongwa ila kupumua fresh tu sema hii hali inakuja nikianza kusoma zile dalili za corona
Hizi dalili za huu ugonjwa.muda mwengine unajihisi unazo wakati hata hauna..
 
Ugonjwa umeingia Afrika lakini juhudi za kutafuta dawa zinafanywa Ulaya ,China, Marekani na Japan.
Afrika ni kama vile hstukuwa na Dawa kabla ya ujio wa hawa Wakoloni waovu na maovu yao.

Popo walikuwepo enzi na enzi na walikaa mpaka ndani ya nyumba.
Nyoka walikuwepo lakini babu zetu waliweza kupambana na magonjwa yote ya hao wanyama.
Je, miti ya dawa imeisha au ni wataalam wetu kuhodhi utaratibu mzima wa afya ya mwanadamu kwa kutumia mifumo na sheria za kikoloni?
Kwa nini serikali haiwekezi kwenye tafiti za kijadi ?
Mbona mpaka sasa kule Musoma vijana wanatahiriwa kienyeji na wanapona vizuri kwa dawa za asili. ?

Wataalam wetu wa asili kwa nini wasipewe nafasi ya kutajirika kwa kugundua dawa ya Corona?

Kila kitu tunawategemea wakoloni na elimu yao ya kikoloni kwa manufaa yao ya siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo WAKUU TUMEKWISHA...Mimi Nina mwezi na nusu sasa tangu nirudi NYUMBANI toka FRANCE...nilipotoka sijapimwa chochote,,, na hata hapa AIRPORT HAKUNA NILICHOPIMWA..kibaya zaidi siku nipo NJIANI TRANSIT ADDIS ABABA ,,,NILIJISIKIA VIBAYA SN,,BAADAE HALI IKARUDI KAWAIDA,,,lakini sasa nimepoteza hamu ya kula na Nina MAFUA yasiyokwisha,,,SIJAJUWA TATIZO NINI...na nilikwenda sehem Fulani pale SINZA,,,MADUKANI,,, wakanipima na kile KIPIMO CHA JOTO,,, JOTO LIPO 35..…JE NI CORONA WAKUU?msaada TAFADHALI..NOW NIMEPOTEZA UWEZO WA KUHISI HARUFU HATA YA PERFUMES...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tayari....

am better here
 
"Virusi vya corona vinaweza kuingia kwenye tishu za ubongo na hilo linaelezea kwanini baadhi ya watu wanapoteza hamu ya kula na ukosefu wa uwezo wa kuvuta harufu." - BBC Swahili
 
MKUU nipo very serious,,,huo ndy UKWELI...KWAHYO KAMA KUNA BODY CONTACT NA WANAWAKE SIRUHUSIWI KUELEZA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tubu haraka sana kwa Mungu wako.
Huu ugonjwa umetengenezwa na watu waovu. Na utawamaliza watu waovu.
Ni uadui kati ya uzao wa Nyoka ,yaani Ibilisi na uzao wa Hawa yaani watu Masihi Issah Bina Maryam.

Watakaoendelea na maovu wajiandae tyuu kujimaliza kwa Corona.
Rejea haraka kwa Muumba wako na uombe Toba.
Mungu amechoka kuona watu wake wanaonewa na watu waovu. Yesu alikuja ili tuwe na uzima tele.
Shetani na watu wake watakimbizwa mchaka mchaka mpaka wafloti.

Wazungu walimuacha Mungu wakajua akili zao zitawasaidia wakajisahau na kupendana wenyewe kwa wenyewe bila kujali tena kanuni za kiimani na sasa wanaipata fresh mpaka wanaanza kurejea kwenye njia ya Mwenyezi Mungu.

Bado mlango wa Rehema haujafungwa.
Tujinyenyekeshe kwa Mungu wetu na kujiweka chini ya Uongozi wa Masihi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom