Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Mkuu STUNTER unaendeaje hv sasa? Mimi hali bado ni ile ile na mda huu nipo njiani kuelekea hospitali. Na vyakula vya kuboost uwezo wa sense ni kama vipi?
Mmmh hii shida kumbe sio mimi peke yangu, ila namshukuru Mungu leo nimeanza kuhisi baadhi ya vitu kwa mbali na ladha ya vyakula.
Ila kinachonishangaza nilipoteza ladha na kuhisi harufu japo sikuwa na mafua makali sana, nilikuwa napumua kawaida tu . Kitu kilichonisaidia mpaka mda huu ni Malio na tangawizi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nizaliwe kwa Mara ya kwanza niliugua mafua ya kupoteza uwezo wa kunusa mwez January mwaka huu,so kama linahusiana na corona basi huu ugonjwa tz umeingia kitambo tu.
 
Mimi iliwahi nitokea kabla, ila ya sasa hivi inanitia wasiwasi sababu inachukua muda. Nilizoea siku 1 au 2, lakini kwa hii inaenda siku ya 5!
 
Tunakomaa na mfumo wa upumuaji wakati Corona virus inapiga immune system kama HIV ....
Whites hawawezi kutupa taarifa zote za kujikinga kwa usahihi, tunanawa mikono kwa sabuni sawa, kutawaza chooni vipi?Vyoo tunavyotumia daaah..
Usafi unapaswa kuwa kila eneo siyo mikono tu ila mikono iwe mara kwa mara kwa sababu inaeneza kirahisi zaidi.
Tujitahidi sana kula vyakula vya kuboost immune system na kuachana na stress.
 
Daah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Nunua redrose perfume usipodikia hiyo harufu aisee ni balaa
 
Dalili ya kuingiziwa pamba puani au mdomoni kwenye njia ya hewa na kuchukuliwa unyevu kama sampuli post: 35068153, member: 96145"]
Hahahaa hata hii ina harufu kali ila ndo siskii hata kidogo
[/QUOTE]
 
Daah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Me nanusa kitunguu maji, muda wote nipo nacho,
Siku ya 5 sasa leo, mambo bado

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Tunakomaa na mfumo wa upumuaji wakati Corona virus inapiga immune system kama HIV ....
Whites hawawezi kutupa taarifa zote za kujikinga kwa usahihi, tunanawa mikono kwa sabuni sawa, kutawaza chooni vipi?Vyoo tunavyotumia daaah..
Usafi unapaswa kuwa kila eneo siyo mikono tu ila mikono iwe mara kwa mara kwa sababu inaeneza kirahisi zaidi.
Tujitahidi sana kula vyakula vya kuboost immune system na kuachana na stress.
Ni Kwa vipi Stress zinachangia?
Na Stress zenyewe ni zipi? Za Uchimi,kukosa kazi?
Au Hofu ya Ugonjwa wenyewe!
Ni kwa vipi Stress inachangia kushusha Immune?
BT Tahadhari ni bora,tahadhari woga/Stress inakupa uchukuaji wa tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa watu milioni 2 duniani kote kwa wiki 3 hizi wameripoti hili tatizo,

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hewa tunayovuta.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Sasa kuna huyo jamaa anasambaa mitandaoni ambae alikuwa Lecturer wa Udsm Eng.Dr.kazaliwa 1981,hakujulikana mpaka Dakika ya Mwisho anashindwa kupumua akafa!
Sasa kama hali hii utaidhibiti vipi?

Back
Top Bottom