Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Mimi sina mafua wala kikohozi lkn ni week ya pili sasa nimepoteza uwezo wa kunusa yaan sisikii harufu yoyote ile
Mtaani watu wana mafua na kifua sana,sa hivi karibu kila mti anaumwa hvyo.hata ukienda hospital unastaajabu wengi wanamatatzo common.

Nafikiri kuna la ziada lapaswa kufanyika
 
ajabu sana,mi nilijua ukifika wanakupima corona kama ukihitaji ama kwa dalili,ila tofauti
Kuna mkaka tunafanya nae kazi, week 3 zilizopita alikua anaumwa na ukimcheki dalili baadhi zinafanana na za corona. Kaenda hospital wakamhoji kama alitoka nje ya nchi hivi karibuni, akasema hapana. Basi wakamwambia arudi home askilizie akiona dalili zinaendelea arudi tena hospital.
Ikabidi apewe tu ruhusa ya kupumzika home hadi apone, thank God saiv yuko salama. Sasa imagine angekua na kinga ndogo si tungempoteza
 
Back
Top Bottom