Maendeleo kwa siku ya 7:
Hadi kufikia unafuu wa 30% nimetumia:-
1. maji vuguvugu kikombe kimoja + apple cider vinegar (1 tablespoon)+ asali (1tablespoon) mara 1 kwa siku (vinegar inashauriwa usitumie zaidi ya kipimo hicho kwa siku).
2. maji vuguvugu + limao + tangawizi
3. kitunguu swaumu ponda ponda, tia kwenye maji, chemsha kunywa
4. dawa za hospitali; kifua (amoxicillin), mafua (cetrizen), aleji (prednisolone) + isoryn nasal drops.
Kimsingi nipo serious sana na hili suala, nipo sehemu sichangamani na watu na nimesitisha masuala mengine. Tuendelee kushauriana ndugu zanguni tuone tunafikiaje lengo. Kwa uwezo wa Mungu naamini tutafanikiwa.