Fukara
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,625
- 928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheza na watu kivipi? Mimi pia ninalo hili tatizo
DuuhHili tatizo lipo kwa watu kwa kiasi kikubwa....
Mm binafsi hapo sipati ladha ya chakula wala sisikii harufu ya aina yeyeto...
Kuna watu kama 8 hv ambao nawafaham nao wameniambia wana tatizo kama hili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mind your business it is not so easy to know what I meant except the concerned!!HOW does that person involve here ?
Mimi pia hili tatizo limenikumba na pia kuna harufu Fulani hivi ya kukera unaisikia na inabaki hadi kwenye nguo nazovaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni wa kumsamehe tu , huwa analazimika kuchagia hata pasipostahili, ilimradi tu amuambatanishe na mchuchu wake ,!Anacheza na watu kivipi? Mimi pia ninalo hili tatizo
Leo ni siku ya 5 sipati radha yoyote mdomoni pia sisikii harufu yoyote. Naona mmenitisha kwa COVID 19 itabidi nianze seriously tiba mbadala as per Mama Tibaijuka advice
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli! It is normal kupoteza kunusa, kuonja unapokuwa na mafua... hivi you can not associate it with Corona that much simple! Of course ukiona hivyo n vema kuchukua tahadhali! lkn siyo dalili specifically for corona
Mbona anayoyaonyesha mama Tibaijuka ni kawaida kwa wahaya! Ni tiba from time immemorial kwa wahaya na haina msaada mkubwa , watu wameponea modern medicines. Anayoyaonyesha kwenye clip yanafanywa miaka nenda miaka rudi na mafua yako pale pale na hayaponi.
Siyo kweli! It is normal kupoteza kunusa, kuonja unapokuwa na mafua... hivi you can not associate it with Corona that much simple! Of course ukiona hivyo n vema kuchukua tahadhali! lkn siyo dalili specifically for corona
Siyo kweli. nilipatwa na same problem mwezi wa tisa mwaka jana. Nilijitibu na dawa za kutuliza mafua, antibiotics etc. Nilikaa na hali hiyo for 2 weeks!
Siyo kweli. nilipatwa na same problem mwezi wa tisa mwaka jana. Nilijitibu na dawa za kutuliza mafua, antibiotics etc. Nilikaa na hali hiyo for 2 weeks! For all this period temperature was always high! Sikwenda hospitali maana niliamini ni mafua ila ni different strain ambayo ni more virulent! It went away with time ..
Mafua miaka yote yanaambatana na kupoteza kunusa. Mimi mwaka jana mwezi wa 9 (september) nilikuwa na homa, mafua, kuumwa kichwa, mwili kukosa nguvu for about 2 weeks. Nilikuwa bed ridden for 2 weeks or three nilipoanza kutoka nje. Was it Corona? Na ni mimi peke yangu niliyeugua nyuma yangu ya watu kumi all were well till now! hakuna hata aliyeambukizwa mafua.Ndugu hiyo hali ni korona maana waliouguwa walipoteza uwezo wao wa kunusa.
Sent using Jamii Forums mobile app