Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Soma taratibu Mkuu utanielewa...nimeandika virusi vya Corona vinaathiri kinga ya mwili kama ukimwi unavyoathiri pia (this is the core).Ni Kwa vipi Stress zinachangia?
Na Stress zenyewe ni zipi? Za Uchimi,kukosa kazi?...
My take: Pamoja na usafi bado tunapaswa kula vizuri ili kuinua kinga zetu za mwili.
Nimeandika pia tuachane na stress siyo kwamba stress inachangia mona kwa moja ila inaweza kuathiri sana mtu na kumfanya kuwa susceptible to any diseases.
Tujadili core issues kwanza.