Abdull hamid
Member
- May 20, 2020
- 26
- 20
Hlf wanasema kuwa na mkojo mchafu inachangia hali hii kuna ukweli apo?Corrona ???kwanino dalili ya corona ni kuziba pua na kupoteza uwezo wa kunusa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikuelekeza naomba unitagSawa bhana nitaenda kwa doctor bingwa wa pua kuna mtu alinambia nitumie malimau na tangawizi ila leo sijamuona akaja kunielekeza jinsi ya kutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkojo mchafu kwa maana ya kuwa na UTI?Hlf wanasema kuwa na mkojo mchafu inachangia hali hii kuna ukweli apo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipoteza taste ya kunusa obvious unapoteza taste ya chakula... Taste ya chakula ni pamoja na harufu yake mana hapo kwa sasa taste unayopata ni ya chumvi na sukari tu.
Yes ni kweli apo kuna ndo tatizo mkuu maana unakula tu chakula bila kuskia harufu yake halii inanitesa sana hiiUkipoteza taste ya kunusa obvious unapoteza taste ya chakula... Taste ya chakula ni pamoja na harufu yake mana hapo kwa sasa taste unayopata ni ya chumvi na sukari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itarudi tu hata mimi niliogopa sana nikahisi haitoweza kurudi.... Mimi nilikula malimao, chemsha tangawizi na tafuna vitunguu saumu utapata nafuu. Hali hiyo huchukua wiki 1-2 ku recoverYes ni kweli apo kuna ndo tatizo mkuu maana unakula tu chakula bila kuskia harufu yake halii inanitesa sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitafanya ivoItarudi tu hata mimi niliogopa sana nikahisi haitoweza kurudi.... Mimi nilikula malimao, chemsha tangawizi na tafuna vitunguu saumu utapata nafuu. Hali hiyo huchukua wiki 1-2 ku recover
Sent using Jamii Forums mobile app
Itarudi tu hata mimi niliogopa sana nikahisi haitoweza kurudi.... Mimi nilikula malimao, chemsha tangawizi na tafuna vitunguu saumu utapata nafuu. Hali hiyo huchukua wiki 1-2 ku recover
Sent using Jamii Forums mobile mkuu haya malimao unakula vp nipe maelekezo kdg
Vipi hali inaendeeleajeDaah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Mtupe mrejesho hali zikirudi kaaaida wengine ndo tunaanzA kukosa uwezo wa kunusaHili swala limenikuta,japo upande wa taste nipo vzur.
Ila kunusa kumekufa, kama nashindwa kuhisi hata harufu ya spirit hii imeniogopesha.
Ila niko poa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilianza kuskia harufu kwa mbali na ladha ya chakula siku ya 5 jion then kesho yake nikapona kabisa.Vipi hali inaendeeleaje
Ndugu yangu Mimi ni mmoja wapo Leo ni siku ya 5 sasa hii hali tangu imenipataSehemu mbali mbali Duniani kumezuka mijadala ya watu wengi sana wakijadili tatizo la upotevu au ukosefu wa uwezo wa kunusa na kuhisi ladha ya chakula( Loss of taste and smell)
Kwa hapa Tanzania mimi ni mmoja wao na kuna rafiki yangu ni Dkt amenambia amekumbana na kesi nyingi hivi karibuni za wagonjwa wengi kulalamikia tatizo hilo.
Kitu kinachoacha maswali mengi ni kwamba Asilimia kubwa ya watu wenye virusi vya corona ndio hasa walioripoti tatizo hilo kwa wingi sana!
Sasa huenda wengi tumepatwa na tatizo hili lakini hatulichukulii kwa userious mkubwa.
Karibuni tujadili mbinu za kukabiliana nalo na kama ulishawahi kukumbana na tatizo hilo ruksa kushea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana hadi hali irudi si mchezoNdugu yangu Mimi ni mmoja wapo Leo ni siku ya 5 sasa hii hali tangu imenipata
Utaamini ishapita miaka mitano? Mungu mkubwa aiseeBahati yako shukuru kinga zako.