Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Yes ni kweli apo kuna ndo tatizo mkuu maana unakula tu chakula bila kuskia harufu yake halii inanitesa sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Itarudi tu hata mimi niliogopa sana nikahisi haitoweza kurudi.... Mimi nilikula malimao, chemsha tangawizi na tafuna vitunguu saumu utapata nafuu. Hali hiyo huchukua wiki 1-2 ku recover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah siku 5 mbona unaniogopesha mkuu. Me kesho itakua siku ya 4 na hata sioni dalili za kupata nafuu maana mda wote niko na kichupa cha perfume nanusa ila naona ola.
Vipi hali inaendeeleaje
 
Hili swala limenikuta,japo upande wa taste nipo vzur.
Ila kunusa kumekufa, kama nashindwa kuhisi hata harufu ya spirit hii imeniogopesha.

Ila niko poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtupe mrejesho hali zikirudi kaaaida wengine ndo tunaanzA kukosa uwezo wa kunusa
 
Vipi hali inaendeeleaje
Nilianza kuskia harufu kwa mbali na ladha ya chakula siku ya 5 jion then kesho yake nikapona kabisa.
Haijawah kujirudia tena hadi mda huu
 
Sehemu mbali mbali Duniani kumezuka mijadala ya watu wengi sana wakijadili tatizo la upotevu au ukosefu wa uwezo wa kunusa na kuhisi ladha ya chakula( Loss of taste and smell)

Kwa hapa Tanzania mimi ni mmoja wao na kuna rafiki yangu ni Dkt amenambia amekumbana na kesi nyingi hivi karibuni za wagonjwa wengi kulalamikia tatizo hilo.

Kitu kinachoacha maswali mengi ni kwamba Asilimia kubwa ya watu wenye virusi vya corona ndio hasa walioripoti tatizo hilo kwa wingi sana!

Sasa huenda wengi tumepatwa na tatizo hili lakini hatulichukulii kwa userious mkubwa.

Karibuni tujadili mbinu za kukabiliana nalo na kama ulishawahi kukumbana na tatizo hilo ruksa kushea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu Mimi ni mmoja wapo Leo ni siku ya 5 sasa hii hali tangu imenipata
 
Back
Top Bottom