Ambilikile Mwasapile, korona huku ni janga, hujapata maono mapya?
asante
Mbona tunasikia serikali ilikujengea bonge la crib Masaki?Nipo msituni hvyo nawaomba muwe wavumilivu, na mpunguze kunipigia simu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dalili za huu ugonjwa.muda mwengine unajihisi unazo wakati hata hauna..
Mkuu tayari....Kama ni hivyo WAKUU TUMEKWISHA...Mimi Nina mwezi na nusu sasa tangu nirudi NYUMBANI toka FRANCE...nilipotoka sijapimwa chochote,,, na hata hapa AIRPORT HAKUNA NILICHOPIMWA..kibaya zaidi siku nipo NJIANI TRANSIT ADDIS ABABA ,,,NILIJISIKIA VIBAYA SN,,BAADAE HALI IKARUDI KAWAIDA,,,lakini sasa nimepoteza hamu ya kula na Nina MAFUA yasiyokwisha,,,SIJAJUWA TATIZO NINI...na nilikwenda sehem Fulani pale SINZA,,,MADUKANI,,, wakanipima na kile KIPIMO CHA JOTO,,, JOTO LIPO 35..…JE NI CORONA WAKUU?msaada TAFADHALI..NOW NIMEPOTEZA UWEZO WA KUHISI HARUFU HATA YA PERFUMES...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipeleke vituo vya corona mapema MZEE.
Mkuu tayari....
am better here
Kumbe hauko serious MZEE,unaleta utoto mambo ya kugegeda peleka gesti.Duu,,,MBAYA ZAIDI NIMEGEGEDA WAKE ZA WATU kama 6 NA WACHUMBA ZA WATU 4 NA VI BINTI VYA CHUO 4 hivi...SIJUWI ITAKUWAJE NIKIWA POSITIVE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kama ka "k" ka mbu!!DUU... tatizo bado nipo very STRONG....sipo weak..na wala sina DALILI ZOZOTE ZAIDI YA MAFUA..TU..TATIZO NIMEFUMUWA SANA WAKE ZA WATU MARINDA...sijuwi itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hauko serious MZEE,unaleta utoto mambo ya kugegeda peleka gesti.
Tubu haraka sana kwa Mungu wako.MKUU nipo very serious,,,huo ndy UKWELI...KWAHYO KAMA KUNA BODY CONTACT NA WANAWAKE SIRUHUSIWI KUELEZA?
Sent using Jamii Forums mobile app