Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Mi jana niliamka mchana na viungo vikawa vinauma hatari na usiku sikulala but leo nimepata nafuu ila tatizo la kutohisi ladha na harufu limeanzaNiliona kama nakufa vile,mwili ukawa kama umepondwa na mawe,
nabanwa ndani kwa ndani macho yanatoa machozi tu,
harufu hata ya chooni sisikii..
mliopitia haka kaupepo poleni naelewa shida zake
Sent using Jamii Forums mobile app