Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)


Kura hazipigwi kwa kigezo cha idadi ya wananchi katika nchi bali kura kwa nchi.

U CCM mbona shughuli 😂😂?
 
Mrusi anatakiwa apigwe haraka sn
Anatakiwa apigwe na nani? Kama kila Taifa lina mgwaya? Hakuna cha Muungano wa NATO wala Marekani mwenye uwezo wa kuishambulia Urusi.

Au kama vipi jitolee uende Ukraine ukapigane na huyo Mrusi, halafu tuone kama utarudi tena Bongo kuja kula ugali wako wa dona na dagaa.
 
I stand with my country, its none of business, whether or not Russia remain in that tume
 
Very good!
Kwanza hayatuhusu.
Mbona hatukupiga kura wakati Marekani wanaivamia Libya?
 
Sijawahi kumuunga mkono mama samia kwa lolote like toka alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza na jpm, sijawahi kumuunga mkono kwa sababu ninaemfahamu viziri, lkn kwa huu msimamo wa kutoegemea upande wowote, ninaempenda.
Unamuunga mkono kwa kuunga mkono bloodshed, am I reading you right?
 
Marekani haijamshindwa sahivi ameishiwa nguvu kabisa
 
Kongole kwa taifa letu pendwa Tanzania👍

#Siempre JMT🙏
 
Kwa hilo la kutotaka kuendeshwa na mabeberu NAIUNGA MKONO NCHI YANGU TANZANIA KWA 100%. Nazipongeza nchi zote zilizo-abstain na kupinga, uamuzi wao unatuma ujumbe safi sana kwa imperialists kuwa dunia imechoka na haitaki ubwanyenye wao.
😍
 
Putin alipata kusema kuwa "wao hawatakubali kupigishwa magoti kwa kisingizio cha maslahi "kiduchu" ya kiuchumi....wako tayari kusimamia walichokipanga.......
 
Kwa hilo la kutotaka kuendeshwa na mabeberu NAIUNGA MKONO NCHI YANGU TANZANIA KWA 100%. Nazipongeza nchi zote zilizo-abstain na kupinga, uamuzi wao unatuma ujumbe safi sana kwa imperialists kuwa dunia imechoka na haitaki ubwanyenye wao.
Hivi kuna imperialism kubwa zaidi ya kuteka nchi ya watu kimabavu?

Wacha kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…