Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuumia
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
sasa Tanzania ina nini cha maana chakujivunia hapo.inakuwepo kwenye orodha kwasababu nilazima nchi zote zishiriki.Sasa kushiriki alafu unapiga kura ya neutral maana yake huamini katika ndio au hapana.ingekua haipendi kuendeshwa na mabeberu ingepiga kura ya kupinga azimio sio kuabstain.Kwa hilo la kutotaka kuendeshwa na mabeberu NAIUNGA MKONO NCHI YANGU TANZANIA KWA 100%. Nazipongeza nchi zote zilizo-abstain na kupinga, uamuzi wao unatuma ujumbe safi sana kwa imperialists kuwa dunia imechoka na haitaki ubwanyenye wao.
Hayawahusu wakati mnaangaika na bei ya mafuta sasa hivi.Au wewe unataka hadi iweje ndio ujue huu ujinga wa urus unatuathiri hadi sisi pangu pakavu.Hayo mambo hayatuhusu
Hivi siyo hao walioweka vikwazo ndiyo wanatuadhibu? Naona kama vile unaongea vitu usivyovijuaHayawahusu wakati mnaangaika na bei ya mafuta sasa hivi.Au wewe unataka hadi iweje ndio ujue huu ujinga wa urus unatuathiri hadi sisi pangu pakavu.
Tanzania imejitahidi ila bado. Kwa maoni yangu ingesema No tu! Misaada isingekatwa maana wanahitaji raslimali zetu.Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
Je yule aliyekwenda kuipiga Iraq, Afghanistani, Libya na hata kumuua rais wao kwa kunyonga hakuona kuwa anavunja haki za binadamu? Kuna hatua zozote alichukuliwa? Hakuna anayependa vita, ila ukisimama kwenye haki Mmarekan ndiye kinara wa hayo mambo.Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
Kwa hilo la kutotaka kuendeshwa na mabeberu NAIUNGA MKONO NCHI YANGU TANZANIA KWA 100%. Nazipongeza nchi zote zilizo-abstain na kupinga, uamuzi wao unatuma ujumbe safi sana kwa imperialists kuwa dunia imechoka na haitaki ubwanyenye wao.
As the former minister (and Marxist) Ali Sultan Issa recalled, “here the Chinese were backward; they wanted to develop their country first, but they still helped. Here the Russians were advanced with Sputnik and everything, yet they were stingy” (Burgess 2009: 107).10 source : Socialisms Between Cooperation and Competition: Ideology, Aid and Cold War Politics in Tanzania’s relations with East Germany
Siyo kweli, tafsiri ya abstain siyo kuunga mkono Bali ni kulipinga azimio kistaarabu. Ingekuwa abstain ni kuunga azimio kusingekuwa na ugomvi kati ya India na Marekani kuhusu Ukraine.Kimsingi hapo Dunia imeamua kumwondoa murusi na kumtupa nje. Hao woote walio abstain kimsingi wameunga mkono wa kumfuta Russia
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
Burundi, Eritrea, Ethiopia na Zimbabwe ni baadhi ya Nchi za Afrika zilizoungana na Urusi na China kulipinga azimio waziwazi.Nchi zisizotaka demokrasia coupled wiyh Njaa hawana ujasiri wa kumkataa wala kumunga mkono.
Urusi imejua marafiki wa kweli🤣🤣
Wewe naona huijui diplomasia!asasa Tanzania ina nini cha maana chakujivunia hapo.inakuwepo kwenye orodha kwasababu nilazima nchi zote zishiriki.Sasa kushiriki alafu unapiga kura ya neutral maana yake huamini katika ndio au hapana.ingekua haipendi kuendeshwa na mabeberu ingepiga kura ya kupinga azimio sio kuabstain.
Kama zilivyokuwa zimetekwa Iraq na Afghanistan siyo?Hivi kuna imperialism kubwa zaidi ya kuteka nchi ya watu kimabavu?
Wacha kukariri
Wakenya walivyo mahanithi lazima watakuwa wamemuunga mkono Mmarekani na genge lake la mabeberuLeo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi zingine 58 kugomea kura hiyo (kutokupiga kura).
Nchi zilizogomea kura zimo India, Afrika ya kusini, Brazil, Bangladesh nk. Zilizopiga kura kupinga azimio zipo 24 ikiwemo Urusi, China, Korea kaskazini, Cuba, nk.
Zilizopitisha azimio zipo 93 ikiwemo Marekani na nchi za Magharibi.
Japo azimio limepita lakini dunia imegawika katikati. Wale ambao hawakuunga azimio kwa maana ya kulipinga au kuligomea nchi zao zina watu wengi zaidi kwa kuwa zimo India, China, Brazil na Bangladesh zenye watu wengi zaidi.
Mrusi anatakiwa apigwe haraka sn